Hizi ndizo faida 50 za mazoezi

Very well said. Labda apart from job,kwani home kitaa huwezi fanya mazoezi,kama kukimbia alfajiri na mapema before ujaenda job?
 
Very well said. Labda apart from job,kwani home kitaa huwezi fanya mazoezi,kama kukimbia alfajiri na mapema before ujaenda job?

Nyumbani mambo ya watoto yanachukua muda mwingi, weekdays naamka 5am prepare the kids for school and a few other things. weekends najitahidi as watoto hawaendi shule.
 
Nyumbani mambo ya watoto yanachukua muda mwingi, weekdays naamka 5am prepare the kids for school and a few other things. weekends najitahidi as watoto hawaendi shule.

Oookay.sio mbaya. I think try to arrange ur time table ili weekend na wakati kama huu watoto wakiwa holidays uanze tizi. Naamini haitashindikana. Wish u All the best.
 
Mazoezi ni Afya tosha kabisa!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Fadhili Paulo nimependa sana huu uzi wako!!! infact, umeniwahi maana na mimi nilikua najiandaa kuweka uzi kama huu ni mambo tu yamenibana, ila kunafaida nyingi sana za kufanya mazoezi... achilia mbali majukumu ya hapa na pale mazoezi yamekua kama part ya maisha yangu... napenda sana mazoezi!!!
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mkuu, hakuna kilichoharibika.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…