SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Very true company inasaidia sana, ninapofanya kazi kuna state of the art gym with all the equipment, swimming pool, running track of 5km and sauna bila kusahau professional trainers wanaotoa yoga zumba na aerobic classes. Kampuni yenye wafanyakazi zaidi ya 400 tunaojaribu kutumia hii gym tukifika 10 ni bahati. Tunahamasishana siku mtu una nafasi unaenda siku mambo yakikubana unasahau mazoezi. Shida yangu kubwa ni muda na si kingine labda siplan siku yangu vizuri.
Very well said. Labda apart from job,kwani home kitaa huwezi fanya mazoezi,kama kukimbia alfajiri na mapema before ujaenda job?