Hizi ndizo faida 50 za mazoezi

Hizi ndizo faida 50 za mazoezi

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
993
10473115_738234262906653_6547157660415293166_n.jpg

1. Hukufanya ujisikie vizuri
2. Huongeza uwezo wa kujifunza
3. Hujenga uwezo wa kujistahi
4. Huongeza nguvu ya ubongo kufanya kazi
5. Huuweka mwili wako kuwa unaofaa (fit) na wenye uwezo
6. Huongeza afya ya akili yako
7. Huongeza kinga ya mwili
8. Hupunguza mfadhaiko/stress
9. Hukufanya ujisikie vizuri/mwenye furaha
10. Hukufanya usizeeke mapema
11. Huweka ngozi yenye mng’aro na yenye afya
12. Husaidia kupata usingizi mtulivu
13. Husaidia kuzuia ugonjwa wa kiharusi/strokes
14. Huongeza ufanisi katika makutano/joints ya mwili
15. Huongeza nguvu za mishipa
16. Huondoa wasiwasi
17. Huongeza kumbukumbu
18. Husaidia kudhibiti ulevi/uteja
19. Huongeza uzarishaji
20. Huongeza uwezo wa ubunifu
21. Hupendezesha muonekano wa mwili
22. Huongeza uwezo wa kujiamini
23. Husaidia kuongeza nguvu juu ya malengo yako maishani
24. Huondoa tatizo la kukinaishwa na chakula
25. Huongeza miaka ya kuishi
26. Hukomaza mifupa
27. Huongeza afya ya moyo
28. Huongeza hali ya kuwa na msimamo
29. Huondoa homa ndogo ndogo mwilini
30. Huongeza hamu ya kula
31. Hudhibiti usawa wa lehemu/kolesteroli
32. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na baadhi ya kansa
33. Hushusha shinikizo la juu la damu/BP
34. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na kisukari
35. Huzuia kupatwa na ukichaa/uwendawazimu
36. Hupunguza au huzuia maumivu ya mgongo
37. Hupunguza uwezekano wa kupatwa na ugonjwa wa mifupa
38. Hupunguza hisia/fikra za kujisikia vibaya au huzuni
39. Huzuia kupotea kwa mishipa
40. Huongeza nguvu na ustahimilivu
41. Huongeza ufanisi katika michezo
42. Huongeza uwezo wa kuvumilia maumivu
43. Huongeza usawa na ushirikiano wa mwili
44. Huongeza usambazaji wa oksijeni katika seli za mwili
45. Huongeza hali ya ufuatiliaji/concentration
46. Huongeza uwezo wa kujitawala na kujidhibiti nafsi
47. Huondoa uchovu
48. Huongeza nguvu katika tendo la ndoa
49. Hufanya maisha ni yenye kuvutia zaidi
50. Huongeza ubora wa maisha
Tafadhali SHARE na rafiki zako!

Kufurahia makala hizi tafuta ukurasa wa maajabu ya maji kwenye facebook
 
safi sana
 
uongeza uwezo na stamina wakati ws kuwa kujamiiana (uongeza heshima ya ndoa)
 
Mazoezi mazuri, pagumu ni nitoe wapi nidhamu ya kufanya mazoezi mara kwa mara

Nafikiri for begeners inakuwa simple zaidi kujenga nidhamu ktk mazoezi kama utapata company @ first ya kufanya wote mazoezi. Then baadaye ukishazoea unaweza endelea mwenyewe.
Hii ni njia niliyoitumia mimi mwanzoni wakati naanza mazoezi na ilinisaidia kwa kweli.
 
Ushari wangu napenda kuwasihi hasa vijana especially kina Dada kujenga tabia ya kufanya mazoezi, ukizingatia wengi wao wanamtazamo kuwa kuwa fit ni jukumu la kina kaka peke yao.
 
Nafikiri for begeners inakuwa simple zaidi kujenga nidhamu ktk mazoezi kama utapata company @ first ya kufanya wote mazoezi. Then baadaye ukishazoea unaweza endelea mwenyewe.
Hii ni njia niliyoitumia mimi mwanzoni wakati naanza mazoezi na ilinisaidia kwa kweli.

Very true company inasaidia sana, ninapofanya kazi kuna state of the art gym with all the equipment, swimming pool, running track of 5km and sauna bila kusahau professional trainers wanaotoa yoga zumba na aerobic classes. Kampuni yenye wafanyakazi zaidi ya 400 tunaojaribu kutumia hii gym tukifika 10 ni bahati. Tunahamasishana siku mtu una nafasi unaenda siku mambo yakikubana unasahau mazoezi. Shida yangu kubwa ni muda na si kingine labda siplan siku yangu vizuri.
 
Back
Top Bottom