Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatuchelewesha. Tunataka hiyo Chato waiondoe haraka ili Geita ibaki na dhahabu yake.
Kuwa mkoa haimaanishi ndiyo muwe na uwanja wa ndege, Geita na Chato nikaribu sana ata uwanja wa Kahama utawafaa, Simiyu ni mkoa lakini hakuna uwanja wa Ndege, na Bado kuna mikoa mingi Ina viwanja vya ndege lakini havitumiki ipasavyo Mf Lindi, Mara, Morogoro, Tanga nkLicha ya Chato kuwa Mkoa ni nafasi ya upendeleo ebu tuangalie faida tutakazo zipata sisi wana Geita.
1: Tunahitaji kiwanja kipya cha Ndege kujengwa mkoani Geita kwa kuwa Geita tutakuwa hatuna kiwanja cha Ndege.
2: Kama tunavyojua Timu yetu ya Geita Gold FC rasmi imeingia ligi kuu. Hivyo tutakua na nafasi ya kujenga kiwanja chetu ndani ya mkoa wetu, kuliko kuiacha chato kua ndani ya mkoa wa geita ambayo tayari imebeba uwanja wa mpira wa mkoa.
3: Tutahitaji chuo kipya cha ufundi VETA kijengwe ndani ya Mkoa wa Geita tofauti na ilivyo Sasa vijana watatakiwa kwenda kujifunza Chato.
4: Tutahitaji Geita kujengwe bohari mpya ya madawa, ni tofauti na ilivyo Sasa Bohari ya mkoa ipo Chato.
5: Itakuwa ni rahisi Mkoa wa Geita kuwa na maendeleo kwakua itakua ni miongoni mwa Mikoa midogo hivyo kwa mapatao yatakayo patikana. Ni rahis kuratibu maendeleo na kucover karibu kila eneo la mkoa wa Geita, tofauti na geita kuachiwa eneo kubwa kipato kisingejitoshereza kwa kiwango kikubwa kufikisha maendeleo kila eneo Kama Chato itaachwa mkoa wa Geita.
Ushauri wangu:
Wakazi wa Mkoa wa Geita tusione kama tutapoteza chochote, tukiwa na viongozi wenye maono na Geita kwanza wao itawapunguzia ugumu wa kufikisha maendeleo kila sehem Mkoa na itakua rahisi kufanya yale mambo muhimu ambayo yalifanywa wilayani Chato.
Kwa biashara zilizopo geita uwanja wa ndege unahitajika sana.Kuwa mkoa haimaanishi ndiyo muwe na uwanja wa ndege, Geita na Chato nikaribu sana ata uwanja wa Kahama utawafaa, Simiyu ni mkoa lakini hakuna uwanja wa Ndege, na Bado kuna mikoa mingi Ina viwanja vya ndege lakini havitumiki ipasavyo Mf Lindi, Mara, Morogoro, Tanga nk
mods bado wanakuhisabia siku, sjui umebakisha ngapi 🤣Kwa biashara zilizopo geita uwanja wa ndege unahitajika sana.
Biashara zipi ukitoa Rubondo na GGM Kuna nn tena?Kwa biashara zilizopo geita uwanja wa ndege unahitajika sana.
GGM Wana uwanja wao Hilo la uwanja wa Ndege Geita sahau,Ndio hizo hasa hiyo GGM
Kwani usemayo uongo?Mijadala mingine ni matumizi mabaya ya muda, Geita haina hata miaka 10 tangu igawanywe, kisa JPM tu ndiyo watu mnahaha eti Chato............huu ujinga ukiendelea kila atayekuja atataka kwao kuendelezwe na hapo ndiyo nchi yetu itaanza kupotea. Soon Buhingwe nako watataka mkoa kisa VP