Hizi ndizo faida itakazopata Geita endapo Chato itajitoa na kuwa Mkoa mpya

Wanatuchelewesha. Tunataka hiyo Chato waiondoe haraka ili Geita ibaki na dhahabu yake.
 
Kuwa mkoa haimaanishi ndiyo muwe na uwanja wa ndege, Geita na Chato nikaribu sana ata uwanja wa Kahama utawafaa, Simiyu ni mkoa lakini hakuna uwanja wa Ndege, na Bado kuna mikoa mingi Ina viwanja vya ndege lakini havitumiki ipasavyo Mf Lindi, Mara, Morogoro, Tanga nk
 
Kwa biashara zilizopo geita uwanja wa ndege unahitajika sana.
 
Kwani usemayo uongo?

Mbona sasahivi Ruangwa imekuwa ni msamiati kwenye taarifa za habari, hii inaashiria nini?

Ni nani aliyekuwa anaijua Ruangwa kabla ya 2015?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vema ukaulize mkoa wa Pwani Kama hivyo vitu unavyosema vinapatikana automatically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…