Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kama Mungu yupo basi shetani yupo pia na kama hayupo na shetani hatakuwepo, hivi vitu vinaenda sambamba.Wafia dini bwana! Badala ya kujibu kwa hoja mnaanza kutisha watu...
Binafsi siamini kama kuna kiumbe wa kuitwa shetani. Shetani ni imaginary character aliyetengenezwa na binadamu ili yeye (binadamu) apate uwezo wa kukwepa kuwajibika kwa makosa yake mwenyewe.
Mungu yupo
Shetani hayupo
Dhambi haipo
Dhambi ipo
Mbingu ipo na kuna watu wataenda
Jehanam/Motoni hamna