Hizi ndizo faida kuntu za kuwepo shetani na ibilisi duniani

Kwanza shetani ni an illusion tu, ila uwepo wa dhana hiyo ni fursa na faida kubwa.

Shetani hana watetezi, wala hajawahi kujigamba wala kujitetea sehemu... lakini Mungu katumia timu na nguvu nyingi mno kumchafua/kumshusha shetani na bado anadunda!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa what if nayeye angekuwa na timu inayo mtetea !? Mungu angetafuta chimbo la kujigicha bila shaka
 
Nakazia [emoji419]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa what if nayeye angekuwa na timu inayo mtetea !? Mungu angetafuta chimbo la kujificha bila shaka

Shetani (kama yupo), hana mbwembwe... kila siku timu pinzani ni kumshambulia tu wala hajisumbui kuwajibu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Great thinker
 
Badala kupinga kwa facts mnaanza kumtisha.
Maana yake ufahamu wenu umefungwa msifikirie nje ya box lenu.

Hii ina maana wote mnaompinga mleta mada mnapinga sababu ya uoga.
 
Ibilisi amekuwa sababu ya kutajirisha wengi wanaompenda na wasio mpenda
 
Acheni kumtishia jamaa, kaongea fact, pinga kwa fact
Hizi fact za kipuzi sio za msingi binadamu tuna akili ndogo sana hasa tukiwa katika miili tunashindwa kujua ya rohoni yaani hizi dhambi utakuja uzijutie sana MUNGU haturehemu
 
Lucifer ni kiumbe kilichoumbwa ili kuthibitisha ubaya wa "power of negativity" pale inapokinzana na "power of positivity'. Nguvu hizi mbili huthibitika tu pale panapotokea utashi wa kuamua juu yake.

Miti ile ya uzima, na ule wa ujuzi wa mema na mabaya ndani ya Bustani ya Edeni unathibitisha jambo hili. Wote Lucifer na Adam waliishi katika Bustani za Edeni ili waweze kupimwa uhuru wao wa kufanya maamuzi sahihi na kuthibitisha utii wao kwa Muumbaji wao, lakini wote wawili licha ya kuumbwa katika ukamilifu, lakini wote mtihani ukawashinda (Mwanzo 2:8-17; Ezekieli 28:13-17).

Naamini Bustani moja ya Edeni ilikuwa katika sayari ya Mars, na nyingine ikawa hapa katika sayari yetu ya Earth. Moja ikiwa ni makazi ya asili ya kiroho, na nyingine ikiwa makazi asili ya mwili ulioumbwa kwa mwili wa nyama, vyote vikifanyika hivyo kama "case study" yenye kuthibitisha ubaya wa dhambi.
 
God & Satan ni fiction characters ambao hawajawahi exist popote

Ni illusion tu na Hoax watu walikaa wakashiba wakaamua watengeze ma imagination Kwa bichwa zao Ili tu kujifariji wanapokutana na changamoto,
Zile zinazowapa faida wakaita
God
Zile zinazo waumiza wakaita
Satan

Mchezo ukaisha matokeo yakawa
0-0 game likafungwa!
 
Najiulizaga Mkuu kwan Giza lilitoka wap?sipatag jib la moja kwa moja
Giza does not exist, it is absence of mwanga. Same as death, it does not exist but it is absence of life
 
Najiulizaga Mkuu kwan Giza lilitoka wap?sipatag jib la moja kwa moja
Giza does not exist, it is absence of mwanga. Same as death, it does not exist but it is absence of life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…