Hizi ndizo games kali za android na iOS za kudrive kwa sasa

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Habari
Sasa hivi katika android na iOS wanatuletea games zenye graphic kali kama kwenye PC vile haya hapa chini ni majina ya games kali za kwenye simu za android na iOS

Number one ni truckers of Europe 3 kutoka kwao Wanda software
Number mbili ni bus simulator 2023 kutoka kwao ovidiu pop
 
Ongezea rally furry- extreme driving

Game lina graphics nzuri sana halafu size ya gameni kama 70 mbs
 
Yan simu yangu haina game hata 1. Last time nilicheza Temple run na subway suffer. Kitambooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…