Hizi ndizo hoja ambazo Bunge letu linapaswa kuzijadili

Hizi ndizo hoja ambazo Bunge letu linapaswa kuzijadili

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Nilikua nawaza kwamba:

Lingejikita kujadili hoja nzito zifuatazo.
1. Uanzishwaji wa Viwanda ili kuongeza ajira
2. Ujasiriamali kwa vijana na lioneshe maeneo Mahususi
3. Uwekezaji wa kigeni ili kuongeza ajira
4. Mitaji kwa vijana
5. Matumizi halisi ya elimu ya Watanzania
6. Tafiti na maendeleo ya taifa
 
Hakika ni hoja nyepesi mno zinazojadiliwa huko, sijui ni wapi tumekwama
 
Kodi za wananchi zinateketea bure livunjwe warudi majumbani fedha zipelekwe kwa wananchi.
 
Hapo hakuna Bunge , hilo ni kusanyiko la vilaza walioingizwa hapo na mwendazake ili wamtengenezee uhalali wa kutawala hadi afe. Sasa kwa vile Corona imewa preempt hawana tena hoja ndiyo maana wanajadili mavazi,nguvu za kiume na upuuzi mwingine unaofanana na huo.
 
Ndio kiwango Chao cha kufikiri kilipoishia
tusiwalaumu Sana aliyepanda ile mbegu tunamjua
 
Kama kuna mtu yupo bungeni na anaitaka serikali iunde chombo huru cha kukisimamia unaanzaje kutegemea kwamba hawa watu wanaweza jadili mambo makubwa kwa maslahi ya taifa?
 
Unamaanisha Bunge lijadili issue nzito kama hizo? Bunge hili hili la akina Msukuma au?
 
Nani akae kuumiza kichwa ku-brainstorm na kupata majibu ya mambo magumu? Wa kutengeneza hoja kwasasa wamegundua ni kujiumiza maana hakuna lolote linalofanyika na wapo kimya. Walio na AKILI wametulia
 
Hakuna bunge labda baada ya 2025,Mungu Akipendaga hukooo
 
Back
Top Bottom