Nikiangalia hoja Dr. Mwinyi kama aliziotea kwenye hotuba yake Pemba lkn karama ana sifuri. Ni maoni yangu tu Mkuu.Mada inahusika. Kwa maoni yangu hizi ni hoja na Karama
HOJA
1. Msimamo wa wazi wa hatma ya Zanzibar yenye mamlaka kamili au muungano wa usawa
2. Kudumisha umoja wa kitaifa na kuilinda serikali ya GNU
3. Kuitii Katiba ya Zanzibar na kupigania Maslahi ya wazanzibari katika mazingira yoyote.
4. Kupambana na rushwa, ufisadi na upendeleo wa kivyama, ujimbo na udugu.
5. Kuifungua Zanzibar kiuchumi na kufungua fursa za ajira za kijiografia ikiwemo milango ya bahari na utalii
6. Kuondoa uzembe makazini, kujuana na kubebana kisiasa.
7. Kufumua mifumo ya ufisadi na mianya ya kisheria inayowakingia kifua wabadhirifu.
8. Kufumua mfumo wa uajiri wa kibaguzi uliopo na kutoa fursa kwa wataalamu hasa vijana
9. N.K.
KARAMA
1. Mtu ambaye hatiliwi shaka na umma wa wazanzibari (anayependwa na wazanzibari)
2. Mtu wa watu, muadilifu, mkweli na mwenye misimamo isiyoyumba
3. Mwenye historia ya uzalendo wa kweli kwa Zanzibar
4. Asiyefungwa na makondo kando ya uenevu, chuki, itikadi na milengo ambayo kwa sasa wazanzibari wanaihusisha na kupotea mamlaka ya Zanzibar
5. Mwenye historia ya mapambano ya kweli ya kudai haki ya Zanzibar kwenye awamu tofauti tofauti
6. Jasiri na shupavu.
7. Awe ameishi na wazanzibari kwa jua na mvua
8. Asiye fisadi na tamaa, na asiyefungamana na mfumo wa ufisadi na ubadhirifu unaopigiuwa kelele kwa sasa.
9. Anayekubalika maeneo yote Zanzibar (Wazanzibari wana vigezo vyao) vimejificha. (Uzanzibari. Mila desturi, nidhamu n.k)
10. Mwenye kujitoa kwa maslahi ya Zanzibar (mifano na ushahidi unahitajika)
Hizo ni baadhi ya hoja na karama ambazo mgombea yoyote kwa Zanzibar atapimwa na kuchekechwa.
Hapa nakusudia wananchi na sio DOLA.
Kishada
Mkuu umenikosha sana , na kwa hiyo sina haja tena ya kuanzisha uzi mwingine wa kuelezea vipaumbele vya wazanzibari ambavyo mgombea uraisi ni lazima avifafanue na kueleza ni namna gani atavitekeleza kwa ufasaha kabisa bila ya kumumunya maneno.Ila haya naongezea tuu.Mada inahusika. Kwa maoni yangu hizi ni hoja na Karama
HOJA
1. Msimamo wa wazi wa hatma ya Zanzibar yenye mamlaka kamili au muungano wa usawa
2. Kudumisha umoja wa kitaifa na kuilinda serikali ya GNU
3. Kuitii Katiba ya Zanzibar na kupigania Maslahi ya wazanzibari katika mazingira yoyote.
4. Kupambana na rushwa, ufisadi na upendeleo wa kivyama, ujimbo na udugu.
5. Kuifungua Zanzibar kiuchumi na kufungua fursa za ajira za kijiografia ikiwemo milango ya bahari na utalii
6. Kuondoa uzembe makazini, kujuana na kubebana kisiasa.
7. Kufumua mifumo ya ufisadi na mianya ya kisheria inayowakingia kifua wabadhirifu.
8. Kufumua mfumo wa uajiri wa kibaguzi uliopo na kutoa fursa kwa wataalamu hasa vijana
9. N.K.
KARAMA
1. Mtu ambaye hatiliwi shaka na umma wa wazanzibari (anayependwa na wazanzibari)
2. Mtu wa watu, muadilifu, mkweli na mwenye misimamo isiyoyumba
3. Mwenye historia ya uzalendo wa kweli kwa Zanzibar
4. Asiyefungwa na makondo kando ya uenevu, chuki, itikadi na milengo ambayo kwa sasa wazanzibari wanaihusisha na kupotea mamlaka ya Zanzibar
5. Mwenye historia ya mapambano ya kweli ya kudai haki ya Zanzibar kwenye awamu tofauti tofauti
6. Jasiri na shupavu.
7. Awe ameishi na wazanzibari kwa jua na mvua
8. Asiye fisadi na tamaa, na asiyefungamana na mfumo wa ufisadi na ubadhirifu unaopigiuwa kelele kwa sasa.
9. Anayekubalika maeneo yote Zanzibar (Wazanzibari wana vigezo vyao) vimejificha. (Uzanzibari. Mila desturi, nidhamu n.k)
10. Mwenye kujitoa kwa maslahi ya Zanzibar (mifano na ushahidi unahitajika)
Hizo ni baadhi ya hoja na karama ambazo mgombea yoyote kwa Zanzibar atapimwa na kuchekechwa.
Hapa nakusudia wananchi na sio DOLA.
Kishada
KISHADA,Mada inahusika. Kwa maoni yangu hizi ni hoja na Karama

Mada inahusika. Kwa maoni yangu hizi ni hoja na Karama

Jiridhishe vuzuri kuanzia hoja namba moja hadi mwisho nabumuweke kwenye kioo.Nikiangalia hoja Dr. Mwinyi kama aliziotea kwenye hotuba yake Pemba lkn karama ana sifuri. Ni maoni yangu tu Mkuu.
Z
Kwa Zanzibar ni tofauti kidogo. Kule wana ajenda za kudumu.Watz bado sana. Uwezo wa kuweka hoja kwenye mizani hawana. Na huu ndyo mtaji wa ccm. Watawaletea wasanii watacheza, watakula na kura watawapa.
Nimeeleza hoja na karama kwa Zanzibar.Kiufupi umekuja kumuelezea Maalim Seif. BTW Zanzibar uchaguzi upo wazi mshindi wa kura anajuulikana tayari ni Maalim Seif.
CCM huku hawahangaiki na vipi watapata kura bali ni vipi wataweza kupindua matokeo ya uchaguzi yaani mbinu gani itumike safari hii. Maana kwa hakika wanajuwa Wanzanzibar wameichoka CCM vibaya sana na hawana uwezo wa kushinda kwa box la kura.
Quater yetu tunayotakiwa kuchangia kwenye Muungano na Mgao wetu katika mapato ya muungano.
Nimejiridhisha. Kwenye hoja unaweza kusema ni sawa Ila tatizo ni msimamo wa chama chake. Kwenye karma ana sifuri.Jiridhishe vuzuri kuanzia hoja namba moja hadi mwisho nabumuweke kwenye kioo.
Na hizo karama vipi?
Sio jimbo la Jang'ombeNitashangaa sana kumpigia kura mtu aliyeletwa kimkakati. Huyo mtu alikuwa mbunge wa mkuranga, baadae likatengenezwa jimbo la jang'ombe akapewa. Leo hii mumpe urais.