Zanzibar 2020 Hizi ndizo hoja na karama zitakazombeba mgombea yoyote wa Urais Zanzibar

Zanzibar 2020 Hizi ndizo hoja na karama zitakazombeba mgombea yoyote wa Urais Zanzibar

Mtoto halali na pesa, mtoto yake ni nnya.🤣


Usihuzunike, siku itafika machungu yote yatakuwa faraja.

ان الله مع الصبرين
 
View attachment 1514974
Muafaka lazima Uendelezwe,Asietaka Muafaka Na yeye Hatumtaki
Duh! Miaka 11 ni mingi mno! Maalim Seif ilikuwa aamuwe wakati huo iwe mbivu au mbichi.

Kama ilivosemwa hapo juu, CCM wanapanga namna ya kupindua matokeo na sio namna ya kupata kura Zanzibar. Tokea 1995 hawajawahi kushinda Zanzibar na hawatoshinda kamwe!
 
Unaona wasiopenda ukweli wame ufyata kimyaaa kama hawuoni huu uzi
 
Back
Top Bottom