Duh! Miaka 11 ni mingi mno! Maalim Seif ilikuwa aamuwe wakati huo iwe mbivu au mbichi.
Kama ilivosemwa hapo juu, CCM wanapanga namna ya kupindua matokeo na sio namna ya kupata kura Zanzibar. Tokea 1995 hawajawahi kushinda Zanzibar na hawatoshinda kamwe!