Hizi ndizo hujuma walizofanyiwa Tunisia kabla ya mechi

Hizi ndizo hujuma walizofanyiwa Tunisia kabla ya mechi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
IMG_5064.JPG
IMG_5065.JPG
IMG_5066.JPG
IMG_5067.JPG
 
Nilivyoangalia nikadhani hao ni Simba ......anyways

Tunisia kama Tunisia
 
Back
Top Bottom