Hizi ndizo hujuma walizofanyiwa Tunisia kabla ya mechi

Hizi ndizo hujuma walizofanyiwa Tunisia kabla ya mechi

Mimi sioni shida kabisa.

Hata wangewapeleka CCM kirumba wakachezee mpira huko ni sawa pia.
 
Soka ni mipango ya muda mrefu na sio kuzima taa kwenye changing room ya team pinzani,

Au walidhani game litachezewa changing room? Mambo yakizamani sana haya,yalikuwepo enzi za ujima ila kwa Dunia ya leo ni aibu na fedheha.
 
Back
Top Bottom