Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Figisu za kijinga kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafuu tunateswa hivi uwanjani
Naona TFF imechukua ushauri wa nini cha kufanya kutoka kwa NEC Ya mahera sio?
Tunatekelezaaaaaaaaaaaaaa.
Mkuu kuwa mzalendo😂😂😂😂Ngoja tu watunyooshe
😂😂😂Naona TFF imechukua ushauri wa nini cha kufanya kutoka kwa NEC Ya mahera sio?
Tunatekelezaaaaaaaaaaaaaa.
[emoji85][emoji85][emoji85]harakati zote hizo usikute ni jitihada za mtu flani kutaka uwaziri wa habari na michezo. Awamu hii mengi tutaona.
Mkuu kuwa mzalendo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NA BADO WANAKANDWA
Tunafungwaa wote watanzia ujue😂😂😂Daah km uzalendo ni hivyo basi me nimeshindwa[emoji23]