Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Inayofungwa ni team, sio wananchiTunafungwaa wote watanzia ujueπππ
Hahahahahahaha timu ya wananchi ila sio yangaInayofungwa ni team, sio wananchi
Shida ya umeme kwenye chumba cha Tunisia tu au mi nimeelewa vibaya?Acheni ujinga, kwahiyo mnajifanya hamjui kama hii nchi ina shida ya umeme, acheni ujuaji shubamit, hiyo ni dharula tu, umeme unakatika hospital itakuwa uwanjani!
Acheni ujinga, kwahiyo mnajifanya hamjui kama hii nchi ina shida ya umeme, acheni ujuaji shubamit, hiyo ni dharula tu, umeme unakatika hospital itakuwa uwanjani!
Sasa mbona hajaleta picha za chumba cha stars tuone kama ulikuwa unawaka? Tatizo la mibongo inajifanya inajua sana haki pumbavu kabisaShida ya umeme kwenye chumba cha Tunisia tu au mi nimeelewa vibaya?
Wewe ni boya, mbona hujaleta picha za upande wa pili tuone, tatizo mnapenda kupost hata kama ni ujingaUjinga anafanya mumeo, tuondolee stress zako hapa
NECWalizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
View attachment 1628773View attachment 1628774View attachment 1628775View attachment 1628776
kweli wametunyooshaNgoja tu watunyooshe
Hapana. Wameiga figisu za mikiaNaona TFF imechukua ushauri wa nini cha kufanya kutoka kwa NEC Ya mahera sio?
Tunatekelezaaaaaaaaaaaaaa.
Upimbi huo.Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
View attachment 1628773View attachment 1628774View attachment 1628775View attachment 1628776
Aiseee......haha haaaaa.Naona TFF imechukua ushauri wa nini cha kufanya kutoka kwa NEC Ya mahera sio?
Tunatekelezaaaaaaaaaaaaaa.