Hizi ndizo kazi ambazo watu hulala asubuhi, kuamka na kufanya mambo binafsi mchana hadi jioni, na kurudi kazini usiku

Hizi ndizo kazi ambazo watu hulala asubuhi, kuamka na kufanya mambo binafsi mchana hadi jioni, na kurudi kazini usiku

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
1. Dj - Hasa kuanzia alhamisi hadi jumapili

2. Nesi - wengi ni kila siku

3. Mlinzi - siku 6 usiku, siku 6 mchana, ndio utaratibu
 
Back
Top Bottom