Hizi ndizo mbinu zilizotumiwa na CIA kuudhofisha Ujamaa duniani. Waandishi wa habari wa kijamaa walikipata cha moto

Hizi ndizo mbinu zilizotumiwa na CIA kuudhofisha Ujamaa duniani. Waandishi wa habari wa kijamaa walikipata cha moto

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Fuatana nami

Kama uliwahi kusikia dunia ya magharibi na mashariki, au ulipata dodoso za vita kuu ya kwanza na ya pili ya dunia Baadae vita ya baridi basi vuta kumbukumbu hapo.

Dunia ilikua almanusura izolewe yote na wajamaa, au ujamaa kumbuka tulikua na ujamaa na ubepari, mataifa mengine yaliyokua na unafiki kama Tanzania wakajichomeka NAM lakini NAM ni umoja uliobeba wajamaa wanafiki.

Kwahiyo unapoona unafiki wa watanzania ulianzia huko, una mizizi mikubwa mno.

Nini kilifuatia kwenye ripoti za uchunguzi za majasusi wa CIA na waambata wao na mbinu zipi zilipendekezwa ili kupambana na ujamaa uliokua tayari umeshamiri duniani.

Nitakua naelezea kidogokidogo kwani mimi sio muandishi mzuri lakini mtaelewa tu.
 
VITA YA UJAMAA NA UBEPARI HAIKUWA ONE SIDED FIGHT.ila kilio cha wajamaa kinataka watu wahisi kuwa ujamaa ulihujumiwa wakati walikuwa wakihujumiana.

ENEO AMBALO UJAMAA ULIKUWA NA NGUVU ULIHUJUMU UBEPARI NA UBEPARI ULIFANYA VILE VILE, WAKATI UKAAMUA MSHINDI.

KUNA NGOME ZA UJAMAA ZILIKUFA PASINA KUSHAMBULIWA NA UBEPARI.
 
Back
Top Bottom