Hizi ndizo Media uchwara, je mmeshanunuliwa na mfumo? Mbona mnafuta posts za kutumiwa baada ya muda kupita?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Juzi na Jana nimekutana na hizi posts kutoka kwenye Media tofauti, kuna wengine bado wameziacha hewani na wengine kama Manara na Royal TV Plus wameziondoa nadhani ni baada ya kukandwa sana.

Inasikitisha na kutia kichefuchefu kuona jinsi baadhi ya vinavyojiita vyombo vya habari vikitumika kama kioo cha propaganda zisizo na aibu. Mfano wa wazi ni muundo huu wa maelezo unaofanana neno kwa neno (copy-paste) uliosambazwa kwenye kurasa mbalimbali kama Habari Mpya TV, Lemutuz TV, St Bongo TV, Royal TV Plus, na Manara TV kuhusu ushahidi wa Brenda Rupia na Amani Golugwa kwenye kesi ya Tundu Lissu.

Maelezo yale yale, mtazamo ule ule, na maneno yale yale yaliyosukumwa kwa mpango maalum kutoka "mhimili mmoja" ili kupotosha ukweli wa kinachojiri mahakamani!?

Hili linazua maswali mazito kwa jamii na wadau wa habari:

Je, mmeshanunuliwa na mfumo? Inakuwaje vyombo vinavyodai kujitegemea vichukue caption moja iliyotengenezwa sehemu moja na kuipost bila hata kufanya uhariri au kuweka taaluma mbele?

MEDIA 3.png

1789117618020.png

MEDIA 2.png
MEDIA 1.png

1789117636627.png
MEDIA 6.png
 
Ndugu Pascal Mayalla anaziita "media zuzu".
 
wakili Katuga ni mnyama mn kwenye sheria za nchi hii aise :1Head:
 
Back
Top Bottom