Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

Mtandao wamauzo nimkubwa kiackwamba hatawaliopewa kuzuia uingizwaji
ndio mamember coz naniatamfunga paka kengele???

Hapo tunasikia na watoto wa mkulu wa inji nao wanahusika kuuza..kazi ipo
 
huyu c ndo alijifanya kukimbia bongo kwenda kenya kufanya mziq,ndo mziki huu?!
 
Jamani kiuno bila mfupa....., umekuwa hivi tena jamani!!!??? Poleee.
 
Please waliopo karibu na huyu dada wachunguze na vitu vingine vya kiafya kama sero status... maana kwa mwenendo wake ni risk candidate wa mambo mengi ya kiafya.
 
Yote kwa yote Mungu ni mwema na anaweza yote.
Ray C bado Mungu anakupenda tengeneza maisha yako sasa.
 
mwacheni atangulie tuuu dunia yenyewe hii tumejaa wangine wanazingua zingua tuuuu??
 
ahaha by the way pictures hazipo clear sana. Kwahiyo i cant say anything. Anaonekana kama amelala tu, zingeonekana vizuri ningesema something. By the way madawa sio inshu...

Kanunue gazeti la udaku utaziona clearly
 
Ila mnapenda kuchafua watu sana. Sikatai anakula sembe lakini hizi picha alikuwa kalala acheni kukuza mambo
 
rais Kikwete alipelekewa majina ya wauzaji Unga hapa nchini lakini mpaka sasa kimyaaaaaaa.
asa sijui anasubiri kuunda tume au laa
 
Duuh mwenyezi Mungu amjalie arudi katika hali yake ya awali[ingawa najua ni ngumu]


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ray c yuleyule aliyekuwa anachanganya wanaume kwa uzuri , macho yake , kiuno amekuwa hivi?!!
kama upo karibu naye na unaweza kumsaidia please help her!
 
bongo watu wasahaulifu sana!!!huyu mtoto kipindi anasoma F.K alichapika sana na wazee wa umeme na tetesi kama naye kakanyaga zilivuma!huu unga ni kijisababu tu ili mdudu ndo atakuwa anamtesa sana!.....mayanki wengi wa mjini wakishaikanyaga wanaingia katika unga!..........................AIDS KILLS
 
Eeeeehh.....!!
Yale macho yake so attractive yamegeuka kama mbuzi kachinja.... hii ni nusu kaputi .... starehe noma...
 
Picha sio rahisi kujua Kama yeye.can be anybody
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…