Hizi ndizo Picha za Ray C Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

Bado viatu vinaninginginia kwenye nyaya za umeme, na polisi wanajua hao ndo wauza dawa za kulevya
 
Jamani wapi mameneja wake, promoters wake when she was a star, if they were helping her then how come they're not helping her now? wabongo tuache hizo!
 
Mastaa wa Bongo tumekosa kitu "vision"! Mungu amjalie apone.
 
Madawa si mchezo.......... tunachukulia poa wauza unga

ni kuwapiga risasi tu za machoni

Hivi baba RIZ wa magogoni si alishawahi kusema kuwa anawafahamu wauza unga! kuna hatua yoyote aliichukua ebu nikumbusheni wadau.
 
Thubutu yake baba mwanaasha naye si ndo walewale.
 
sasa hivi amenenepa baada ya kuachana na madawa na afya yake imerudi kutengemaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…