Pre GE2025 Hizi ndizo sababu Watanzania hawatoshiriki maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nilipoona uliposema sio ccm Wala Nini, sijajisumbua kuendelea kusoma, maana nimejua hitimisho litakuwa Nini.
 
Mkuu unajisikiaje unapoandika kwa herufi kubwa tu, kisha ukawa huzingatii matumizi ya koma ama nukta?! Au ndio matokeo ya shule za kata?
 
Upo sahihi
 
Fanya yakuhusuyo, we nani?
Kaandamane uone, au nyie ndio wale ambao familia zenu ziko nje ya nchi na wakati wowote kikiwaka mnakimbilia ubalozini ili muende kwenu huko ughaibuni lakini mnawadanganya watoto wetu waingie barabarani. Mushindwe na mlegee.
 
Kaandamane uone, au nyie ndio wale ambao familia zenu ziko nje ya nchi na wakati wowote kikiwaka mnakimbilia ubalozini ili muende kwenu huko ughaibuni lakini mnawadanganya watoto wetu waingie barabarani. Mushindwe na mlegee.
Hivi wafikili jana ni leo,hii inchi sio ya baba yako ni ya watanzania wote nami nikiwa ni mtazania ni nchi yangu ,tukutane 24,pumbavu
 
Ni kweli hakuna mtanzania atakaye andamana ili akavujwe mguu kwa kwa masilahi ya Mbowe na Lissu
 
Huo ndo ukweli cdm kimaekuwa chama cha kinafiki sana bora lisu sio mbowe ..yaani wanataka kututumia kama daraja iki wakalambe asali wajinga sana hawa jamaa
 
Watanzania wote tuseme "hatuwezi kuwa ngazi au punda kwa viongozi wa chadema wenye ubinafsi wa kutengeneza njia zao za vipato kupitia sisi punda"
""TUMECHOKA KUSWAGWA KAMA NGOMBE KWA MASLAHI YA WATU WASIOZIDI 6 WANAOTAKA KUTUSWAGA KWA MASLAHI YAO ""
 
Wewe ni mpumbavu na huelewi nini umeandika.
Unatakamukimya ilintiendelewa.
Muendeleze kuneemeka.!
 
Leo umeongea point . Mm siwataki CDM wala CCM. Tuwe na vyama vipya. CCM wametuibia sana. Watoto wao waliofeli mitihani kama kina Makamba ndio viongoz. CDM pia imekopi system za CCM. Wakipata ubunge wanafurahi. Nilikuwa namuunga mkono Mwabukusi wa sauti ya watanzania lakin naona nae anaunga mkono upuuz wa CDM. Kwa sasa nimekaa pembeni . Hatuna vyama kabisa. Tuna wez tupu.
 
Sikia, maisha bora au uongozi bora kote duniani uwekwa na wananchi wenyewe viongozi waliopo wao usikiliza wananchi wanataka nini, wananchi wakisinzia na viongozi usinzia, wewe mwenyewe ujitambui unataka wanaokuongoza wakulazimishe ujitambue? Hii haina tifauti na mwalimu na mwanafunzi wake, mwalimu awe mzuri vipi kama mwanafunzi hajitambui ni ndoto kwa huyo mwabafunzi kufaulu.
 
Ila ukweli umesemwa Nyinyi CHADEMA shughulikieni kwanza bei ya sukari, mafuta, bando acheni ubinafsi!!!!!
 
Kwani ni Chadema pekee ndiyo wanaathirika na hayo madhila yanayoletwa na serikali ya CCM? Chadema wameamua kufuata njia yao na hawajawazuia wengine kulalamikia hayo unayolalamikia wewe.
 
Hili kosa wanalifanya kila siku. Hawajui chochote kuhusu siasa. Wamewekana tu ili wapige chenji.
 
Kama Chama kikuu Cha upinzani Tanzania CHADEMA kimefeli sana kuwapigania wananchi. Kuwatetea wananchi siyo mpaka uwe ikuru, Wasijidanganye Ile nguvu waliyoipoteza hawana tena na hawataipata tena.
We need another strong political party to fight the TANU and ASP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…