NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
1/ uchezaji wa Marumo gallants Fc, nimewatazama sana Marumo uchezaji wao ni wakufunguka (piga nikupige)
Kutokana na mbinu hizo Kuna uwezekano mkubwa sana Yanga akapata goli maana Marumo kwenye ku defense siyo wazuri sana.
Marumo watahukumiwa na Yanga kutokana na uchezaji wao.
2/ Mbinu za benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na Prof Nabi naiona gemu ya kesho ikiisha kimbinu zaidi, Nabi ana tecnic nyingi za kujua namna ya kumkabiri mpinzani wake.
3/ mabeki wa kati na viungo wa Yanga, hakika Kila nikitazama naona kabisa Yanga itapita fainali bila ya kupingwa maana Yanga hivi Sasa ana mabeki ambao wanaweza kupambana/kuzuia magoli tofauti na mwanzo.
Naitakia Kila la heri Yanga na ikawe mapambano mema ya kulipambania Taifa.