Hizi ndizo sababu zangu kuu maalumu zinazonifanya niamini kuwa Yanga ita "qualify" kucheza fainali .

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
1/ uchezaji wa Marumo gallants Fc, nimewatazama sana Marumo uchezaji wao ni wakufunguka (piga nikupige)
Kutokana na mbinu hizo Kuna uwezekano mkubwa sana Yanga akapata goli maana Marumo kwenye ku defense siyo wazuri sana.
Marumo watahukumiwa na Yanga kutokana na uchezaji wao.

2/ Mbinu za benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na Prof Nabi naiona gemu ya kesho ikiisha kimbinu zaidi, Nabi ana tecnic nyingi za kujua namna ya kumkabiri mpinzani wake.

3/ mabeki wa kati na viungo wa Yanga, hakika Kila nikitazama naona kabisa Yanga itapita fainali bila ya kupingwa maana Yanga hivi Sasa ana mabeki ambao wanaweza kupambana/kuzuia magoli tofauti na mwanzo.

Naitakia Kila la heri Yanga na ikawe mapambano mema ya kulipambania Taifa.
 
Yanga inacheza na timu inayojipapatua kutokushuka Daraja.

Sijui ingekuwaje kama wangekuwa WANACHEZA na giant Kama.....

KAIZERCHEEF.
Orando pirates.
MAMELOD.
Super sport
Waambie CAF waapange hao kaiza chifu na Orlando ili wacheze na Yanga.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yanga inacheza na timu inayojipapatua kutokushuka Daraja.

Sijui ingekuwaje kama wangekuwa WANACHEZA na giant Kama.....

KAIZERCHEEF.
Orando pirates.
MAMELOD.
Super sport
Ingekuwa hivyo hivyo tu piga ua garagaza. Hii sio Ile Yanga mlioifunga 5, angalia chuki yako isizidi akili!

Yanga daima mbele nyuma mwiko!

Jiandae kwa maumivu Kesho Yanga ikitinga fainali na kuchukua mpunga mrefu! Jamaa Wana kazi kufunga goli nne maana Yanga watawapiga kimoja tu kuvuruga plan nzima. Alietangulia kumkamata Huwa ni kazi sana! Marumo wanafungika.

Hoja kuwa Marumo wanashuka daraja Haina mashiko , Liverpool iliwahi kuchukua UEFA na haikupata kombe la EPL mwaka huo, ligi mbili au tatu huwa hazina uhusiano! Inategemea na uwekezaji na hamasa ya timu iko ligi Gani! Sahare Ya Tanga ilifika mbali Azam Federation cup na haikuwa ikicheza ligi kuu!

Kweli Simba wote ni mbumbumbu kasoro mmoja tu Rage the great tu!
 
Kwa sasa naomba niseme tu kuwa game itakuwa ngumu sana sana hasa kwa timu Yangu Yanga.

Naomba tu vijana wakaze, natamani nitoke kazini mapema leo ili nikaumwagilie kwanza moyo kabla ya game maana hapa naona pressure inapanda
 
Yanga inacheza na timu inayojipapatua kutokushuka Daraja.

Sijui ingekuwaje kama wangekuwa WANACHEZA na giant Kama.....

KAIZERCHEEF.
Orando pirates.
MAMELOD.
Super sport
Muwe mnajua kulinganisha bhana. Giant manake nn? Unataka kusema marumo ni timu ndogo? Hiyo kaiser chief na super sports zipo wapi kwenye mashindano ya cuf?
 
1/ uchezaji wa Marumo gallants Fc, nimewatazama sana Marumo uchezaji wao ni wakufunguka (piga nikupige)
Kutokana na mbinu hizo Kuna uwezekano mkubwa sana Yanga akapata goli maana Marumo kwenye ku defense siyo wazuri sana.
Marumo watahukumiwa na Yanga kutokana na uchezaji wao.

2/ Mbinu za benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na Prof Nabi naiona gemu ya kesho ikiisha kimbinu zaidi, Nabi ana tecnic nyingi za kujua namna ya kumkabiri mpinzani wake.

3/ mabeki wa kati na viungo wa Yanga, hakika Kila nikitazama naona kabisa Yanga itapita fainali bila ya kupingwa maana Yanga hivi Sasa ana mabeki ambao wanaweza kupambana/kuzuia magoli tofauti na mwanzo.

Naitakia Kila la heri Yanga na ikawe mapambano mema ya kulipambania Taifa.
My son GENTAMYCINE, where are you at?
 
Kwa sasa naomba niseme tu kuwa game itakuwa ngumu sana sana hasa kwa timu Yangu Yanga.

Naomba tu vijana wakaze, natamani nitoke kazini mapema leo ili nikaumwagilie kwanza moyo kabla ya game maana hapa naona pressure inapanda
Kuwa na amani mkuu Yanga inatoboa

Back
Top Bottom