Hata mimi namshangaa.Mtoto mzuri [emoji8]
Unajipa stress tu kushabikia makolo
[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana Azam fcItakuwa mwarabu wa tandale
Njooo urudiee kusema tenaaaaJambo la kutia moyo ni kwamba, USM Alger wanafungika ugenini! Na wanajitahidi sana kujitutumua wakiwa kwao.
Hivyo Yanga wanatakiwa kuitumia vizuri mechi ya kesho kwa kupata ushindi mnono, ili kuwawekea hao wapinzani wao mlima mrefu wa kupanda kwenye mechi ya marudio.
Lakini pia ikumbukwe mwaka 2015 katika fainali kama hizi, walifungwa jumla ya magoli 4-1 na Tp Mazembe! Hivyo hawana maajabu kivile.
Imagine kwenye hatua ya makundi walishika nafasi ya 2 nyuma ya Marumo Gallants!! So Yanga washindwe wenyewe kuchukua huu ubingwa. Maana ukizilinganisha hizi timu mbili; hamasa kwenye timu ya Yanga iko juu kuliko hao USM Alger.
Ulaya final ni match 1, huku ni match 2 au huoni hilo?? LolSheria za CAF ni za kipumbavu sana, kumbe Ulaya mchezaji atakosa mechi 1 tu lakini pia ikiwa ni fainali lazima acheze mpira.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Haiwezekani mechi inaitwa fainali halafu kombe halipoUlaya final ni match 1, huku ni match 2 au huoni hilo?? Lol
Shangaa na wee hapooo.Haiwezekani mechi inaitwa fainali halafu kombe halipo
Hata sisi tumeona hao jamaa hawana maajabu yoyote wanategemea tu uwanja wa nyumbaniJambo la kutia moyo ni kwamba, USM Alger wanafungika ugenini! Na wanajitahidi sana kujitutumua wakiwa kwao.
Hivyo Yanga wanatakiwa kuitumia vizuri mechi ya kesho kwa kupata ushindi mnono, ili kuwawekea hao wapinzani wao mlima mrefu wa kupanda kwenye mechi ya marudio.
Lakini pia ikumbukwe mwaka 2015 katika fainali kama hizi, walifungwa jumla ya magoli 4-1 na Tp Mazembe! Hivyo hawana maajabu kivile.
Imagine kwenye hatua ya makundi walishika nafasi ya 2 nyuma ya Marumo Gallants!! So Yanga washindwe wenyewe kuchukua huu ubingwa. Maana ukizilinganisha hizi timu mbili; hamasa kwenye timu ya Yanga iko juu kuliko hao USM Alger.
Hizi dharau ndio ziliwaangusha.Jambo la kutia moyo ni kwamba, USM Alger wanafungika ugenini! Na wanajitahidi sana kujitutumua wakiwa kwao.
Hivyo Yanga wanatakiwa kuitumia vizuri mechi ya kesho kwa kupata ushindi mnono, ili kuwawekea hao wapinzani wao mlima mrefu wa kupanda kwenye mechi ya marudio.
Lakini pia ikumbukwe mwaka 2015 katika fainali kama hizi, walifungwa jumla ya magoli 4-1 na Tp Mazembe! Hivyo hawana maajabu kivile.
Imagine kwenye hatua ya makundi walishika nafasi ya 2 nyuma ya Marumo Gallants!! So Yanga washindwe wenyewe kuchukua huu ubingwa. Maana ukizilinganisha hizi timu mbili; hamasa kwenye timu ya Yanga iko juu kuliko hao USM Alger.
Bado shingo imeshupaa? 😁Hizi ndizo sababu zinazonifanya nishupaze mishipa ya shingo kuwa Yanga itachukua kombe mbele ya mwarabu (USM ALGER)