Hizi ndizo shughuli zinazowapeleka Wachagga Kilimanjaro kila mwaka

Mkuu mtt wa Kichaga alikukosha na nini mzee, ni adabu au flava ya jikoni iko vizuri?
Yuko kamili idara zote mkuu, jikoni swafi kabisa, chumbani sijuti kabisa na pia kwenye swala la adabu na heshima kwangu na wazazi wangu na hata ndugu zangu, najisifu na ni mkwe mpendwa wa mama malume

Mwanzo nilikua nasikia hizo habari kwamba ukioa mchaga utajuta, lakini huyu wangu ni wa mfano, nikiwahi kudate demu wa kitanga sikuona zile sifa zinazosimuliwa mitandaoni ni bure kabisa zaidi ya kupiga vizinga kila siku, demu alikua na maneno huyo unaweza usilale, anakusema mpaka unahisi kutapika

Niliwahi date msukuma, very rigid yaani, ana vimisimamo ambavyo hanina mashiko na siku zote yeye anahisi yupo perfect hata kama amekosea na hawezi jishusha

Nilidate demu mmoja wa mrwara huko, shida yake hakua mwaminifu na alikua mvivu balaa, mchafu, huwezi kumkuta anajishughulisha na chochote na amerizika kabisa

Nilipokutana na huyu dada wakichaga, nilisema hapa nabuy time tu, lakini siku zilivyozidi kwenda nikawa namwona wa tofauti na mademu wote ambao nimewahi kuwa nao

Kwanza ana akili ya maisha, na anapenda kujishughulisha, amesoma ndio lakini akili yake haijabweteka, pili ana adabu, mcha Mungu, ana upendo na heshima kwa kila mtu bila kujali ni mkubwa au mdogo, halafu chumbani, sio mtu wa kunifanya nijute, pia ni mvumilivu nina mapungufu mengi, yaani mimi najiona kama mkosaji sana kwake lakini she still loves me, heshima yake haijapungua kwangu

Kuna wakati biashara zangu ziliyumba kwa muda wa miaka miwili sikua na nyuma wala mbele, nikasema ukisikia kuachwa na mchaga ndio huku, cha kushangaza sio ndugu zangu wala ndugu zake walinotice kwamba mambo yangu ni mabaya, maisha yaliendelea kama kawaida, heshima.yake kwangu haikupungua sansana alijitahidi sana kunitia moyo na kunipa ideas pamoja na mawazo mapya ya biashara, kikubwa ambacho sikuregemea ni kwamba nilikua nasomesha wadogo zangu wawili na bi mkubwa wangu ananitegemea, alipofika kipindi cha ada alinipa full ada za wadogo zangu na pia kila mwezi alihakikisha ile support tuliyokua tunapeleka kwa bi mkubwa haikwami, na aliniambia haya ni maisha yetu na ni sirinyetu, sio lazima kila mtu ajue kwamba for now mke ndio anasupport

Kwa kuwa ameajiriwa, na alikua na biashara ya duka na sehemu ya uwakala wa gesi, mpesa,tigo pesa, crdb na pia alikua anauza vifaa vingine, akaniambia kwamba nisimamie ile biashara na kila faida itakayopatikana kule niingize kwenye mtaji wa kuinua biashara yangu mpaka ntakapoweza kusimama ndio nirudishe usimamizi kwake

Liukweli nilipambana na ndani ya miaka miwili biashara zangu zilisimama tena na maisha yakasonga

Ni mwanamke wa.mfano kwenyw familia yetu, huwa nasikitika kila rafiki zangu wanaponiambia wake zao wanawasumbua, mara hawana support yoyote ndani ya nyumba ni nikiuliza makabila ya wake zao wala sio wachaga ni makabila tanayosifika kwa mapenzi

Niseme tu, haya manenonyanayosemwa mitandaoni yanaweza kuwa kweli lakini uhalisia ni tofauti, kila kabila lina watu wabaya na wazuri kwa hiyo tusiwahukumu watu
 
Natumai wote wazima.

Huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka
Mwezi ambao unapilika nyingi sana za kumalizia dk za mwisho.

Kuna makabila mengi sana yanayopenda kuumalizia mwezi huu kwa kwenda makwao yaani sehemu walikozaliwa.
Nitazungumzia Wachagga sababu mi mwenyewe natokea huko.

Sababu za kwenda makwao December
1. Kupumzika,hii ni baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima,bila kwenda.
2. Kuchinja mbu zi, hapa kuna za matambiko na za kawaida. Matambiko haya ni kushukuru wazee wao kwa baraka walizopata kwa kipindi chote.
3. Sherehe mbalimbali. Komunuo, kipaimara, ubatizo, Xmas na mwaka mpya wenyewe.
4. Utambulisho mbalimbali kama mke, mchumba,gari jipya,nyumba mpya n.k
5. Kukutana na watu mbalimbali ambao hamuonani baada ya kipindi hicho kama, classmates, majirani,ndugu na jamaa.
6. Utekelezaji wa miradi mbalimbali kama ujenzi wa nyumba, ukarabati wa nyumba, njia mashamba n.k

Kutokana na sababu hizo wanaokwenda ni watu wote wa dini zote

Ukienda tofauti na kipindi hiki huwezi kukuta watu wengi sana. Kipindi hiki hakuna kaya utakayokuta haina furaha.

CHANGAMOTO
Kama umeenda na huna chochote kitu,utakumbana na ubaguzi na manyanyaso makubwa sana labda usiwe mzawa wa hapo.
Vijana wenzako wanawajengea wazazi wao nyumba ww huna kitu,wameenda na magari ww huna kitu. Umeshindwa hata kujenga choo hapo nyumbani?

Maswali fikirishi
Utaulizwa mjini ulifata nini? Bora ungelima hata huku shambani tu tujue kabisa kweli huna kazi?

Kama ni Dar, utaulizwa kwani Daslama unayokaa wewe ni hiyo hiyo anakaa mtoto wa Massawe?[emoji23][emoji23] Utajibu nini hapo?

Kipindi hicho wenye vitu,mali pesa ndio wenye akili na maamuzi. Una vyeti vyako,una elimu kubwa lakini kama hujafanya chochote au hauko vizuri na wazazi wewe ni takataka tu.

Kwa sababu tajwa hapo juu kumbuka sio wote wanakwenda kwa sababu zote bali lazma sababu mojawapo ihusike.
Ni kipindi chenye shangwe na furaha sana.

Karibuni watu wa maeneo mengine mtupe sababu za kwenda na changamoto zake. Ruksa kujazia pia hapo.
Bora wasafiri watupunguzie foleni mjini na migari yao
 
Ila kuzaliwa Moshi gharama sana kiongozi

1. Harusi ya gharama
2.Shughuli za watoto gharama
3. Mwisho wa mwaka gharama
4.Ujenge nyumba ya wazazi, ya familia na ya kwako binafsi Moshi ( kama wewe ndio mwenye uwezo)
5. Usomeshe ndugu wa karibu
6. Ufanye sherehe za hapa na pale.. na ushiriki za wenzako..
7.Misiba ya gharama
Wakati wengine wakitoka ndio wametoka na nyumbani hawarud tena wala hawataki kujuana.

Hongereni wachagga...
Hiyo namba 4 sio lazima huwa ni hiari ya wewe mkwe
 
Yuko kamili idara zote mkuu, jikoni swafi kabisa, chumbani sijuti kabisa na pia kwenye swala la adabu na heshima kwangu na wazazi wangu na hata ndugu zangu, najisifu na ni mkwe mpendwa wa mama malume

Mwanzo nilikua nasikia hizo habari kwamba ukioa mchaga utajuta, lakini huyu wangu ni wa mfano, nikiwahi kudate demu wa kitanga sikuona zile sifa zinazosimuliwa mitandaoni ni bure kabisa zaidi ya kupiga vizinga kila siku, demu alikua na maneno huyo unaweza usilale, anakusema mpaka unahisi kutapika

Niliwahi date msukuma, very rigid yaani, ana vimisimamo ambavyo hanina mashiko na siku zote yeye anahisi yupo perfect hata kama amekosea na hawezi jishusha

Nilidate demu mmoja wa mrwara huko, shida yake hakua mwaminifu na alikua mvivu balaa, mchafu, huwezi kumkuta anajishughulisha na chochote na amerizika kabisa

Nilipokutana na huyu dada wakichaga, nilisema hapa nabuy time tu, lakini siku zilivyozidi kwenda nikawa namwona wa tofauti na mademu wote ambao nimewahi kuwa nao

Kwanza ana akili ya maisha, na anapenda kujishughulisha, amesoma ndio lakini akili yake haijabweteka, pili ana adabu, mcha Mungu, ana upendo na heshima kwa kila mtu bila kujali ni mkubwa au mdogo, halafu chumbani, sio mtu wa kunifanya nijute, pia ni mvumilivu nina mapungufu mengi, yaani mimi najiona kama mkosaji sana kwake lakini she still loves me, heshima yake haijapungua kwangu

Kuna wakati biashara zangu ziliyumba kwa muda wa miaka miwili sikua na nyuma wala mbele, nikasema ukisikia kuachwa na mchaga ndio huku, cha kushangaza sio ndugu zangu wala ndugu zake walinotice kwamba mambo yangu ni mabaya, maisha yaliendelea kama kawaida, heshima.yake kwangu haikupungua sansana alijitahidi sana kunitia moyo na kunipa ideas pamoja na mawazo mapya ya biashara, kikubwa ambacho sikuregemea ni kwamba nilikua nasomesha wadogo zangu wawili na bi mkubwa wangu ananitegemea, alipofika kipindi cha ada alinipa full ada za wadogo zangu na pia kila mwezi alihakikisha ile support tuliyokua tunapeleka kwa bi mkubwa haikwami, na aliniambia haya ni maisha yetu na ni sirinyetu, sio lazima kila mtu ajue kwamba for now mke ndio anasupport

Kwa kuwa ameajiriwa, na alikua na biashara ya duka na sehemu ya uwakala wa gesi, mpesa,tigo pesa, crdb na pia alikua anauza vifaa vingine, akaniambia kwamba nisimamie ile biashara na kila faida itakayopatikana kule niingize kwenye mtaji wa kuinua biashara yangu mpaka ntakapoweza kusimama ndio nirudishe usimamizi kwake

Liukweli nilipambana na ndani ya miaka miwili biashara zangu zilisimama tena na maisha yakasonga

Ni mwanamke wa.mfano kwenyw familia yetu, huwa nasikitika kila rafiki zangu wanaponiambia wake zao wanawasumbua, mara hawana support yoyote ndani ya nyumba ni nikiuliza makabila ya wake zao wala sio wachaga ni makabila tanayosifika kwa mapenzi

Niseme tu, haya manenonyanayosemwa mitandaoni yanaweza kuwa kweli lakini uhalisia ni tofauti, kila kabila lina watu wabaya na wazuri kwa hiyo tusiwahukumu watu
Mkuu nimejiskia amani sana sababu mie pia niliwahi kuwa na demu wa kichaga ila so far ndio alikuwa finest woman that i ever had. Yani alikuwa flawless kwa kweli sikuwahi kuona kasoro yake na alikuwa anani complement vizuri sana...very supportive emotionally and economically hakuwa mbinafsi hata kiduchu. Ila maisha haya duh.

Distance ilitutengenisha aisee ila still namkumbuka we are just friends tunachekiana mara moja moja now ashachukuliwa na mtu though.
 
Pole sana mkuu, mimi ni mwenyeji wa Mbeya, lakini so far wachaga ni best wife materials, nina mshkaji wangu yeye ameoa binti wa kidigo huko tanga, huyu mshkaji asipopata heart attack sijui, mke amekua kidonda kabisa kwenye maisha yake, hapendi kujishughulisha, maneno mengi, amechonganisha familia nzima na anagawa uroda kwa kila mtu, ile dhana ya mwanamke wa kitanga imemtokea puani

Mwingine yeye ameoa mnyakyusa, huyo mkewe mimi namwita dada kwa sababu tumetoka mkoa mmoja, ila anamsumbua mshkaji mpaka basi, mwanamke ni katili halafu ana ubabe ambao hauna maana, mbinafsi yaani jamaa anaweza akawa hana hata hela ya mafuta, mke ana hela ila hatoi, hata chakula kikiisha ndani mke hatoi sent ingawa ameajiriwa na ana mshahara mzuri, anamtegemea mumewe mpaka pedi, sijui mshahara huwa anapeleka wapi

Nimesuluhisha kesi zao mpaka nimechoka, sikuhizi hata akinishtakia huwa najisemea tu kimoyomoyo kwani wakati unaoa tulichagua wote?

Huyo demu angekua hajachukuliwa ningekushauri ufanye juu chini umrudishe
 
Dah huyo mnyakyusa ni balaa🤣🤣🤣 atamuua jamaa yako aisee! Jamaa si atemane nae au anataka alosti?

Huyo mwengine nae ameoaje kwa watanga nae looh, he gets the taste of his own medicine. Watanga ni chapa ilale hawako ambitious watu wa kuridhika mno na kelele.

Binafsi naona mabinti wakichaga wengi wasomi wenye exposure na waliolelewa vyema wale wanakuwaga hawana tabia za ajabu kabisa. Very loyal wives na wengi wako ambitious. Si sawa na wale waliokulia kwenye njaa njaa ambao pengine ndio wasumbufu na roho mbaya.
 
Dah huyo mnyakyusa ni balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] atamuua jamaa yako aisee! Jamaa si atemane nae au anataka alosti?

Huyo mwengine nae ameoaje kwa watanga nae looh, he gets the taste of his own medicine. Watanga ni chapa ilale hawako ambitious watu wa kuridhika mno na kelele.

Binafsi naona mabinti wakichaga wengi wasomi wenye exposure na waliolelewa vyema wale wanakuwaga hawana tabia za ajabu kabisa. Very loyal wives na wengi wako ambitious. Si sawa na wale waliokulia kwenye njaa njaa ambao pengine ndio wasumbufu na roho mbaya.
Upo sahihi mkuu, ukimpata mchaga msomi, mwenye exposure hutajuta

Huyo alieoa mnyakyusa naona anashughulikia viza anatala asepe bila kuaga, anaenda zake Canada, bahati nzuri wana mtoto mmoja tu na huyo mwanamke kwa hiyo atamuacha mke na mtoto akili ikishatulia atamchukua mtoto wake

Ishu ya korona ndio imemchelewasha ila angeshaondoka long time

Huyu alieoa tanga, amebaki ameduwaa hajui afanyeje maana ukoo wa mke nao ni kichefuchefu,
 
Dah huyo jamaa bora aingie zake Canada tu. Atapotezea mawazo huko tu.
 
Natumai wote wazima.

Huu ni mwezi wa mwisho wa mwaka
Mwezi ambao unapilika nyingi sana za kumalizia dk za mwisho.

Kuna makabila mengi sana yanayopenda kuumalizia mwezi huu kwa kwenda makwao yaani sehemu walikozaliwa.
Nitazungumzia Wachagga sababu mi mwenyewe natokea huko.

Sababu za kwenda makwao December
1. Kupumzika,hii ni baada ya kufanya kazi kwa mwaka mzima,bila kwenda.
2. Kuchinja mbu zi, hapa kuna za matambiko na za kawaida. Matambiko haya ni kushukuru wazee wao kwa baraka walizopata kwa kipindi chote.
3. Sherehe mbalimbali. Komunuo, kipaimara, ubatizo, Xmas na mwaka mpya wenyewe.
4. Utambulisho mbalimbali kama mke, mchumba,gari jipya,nyumba mpya n.k
5. Kukutana na watu mbalimbali ambao hamuonani baada ya kipindi hicho kama, classmates, majirani,ndugu na jamaa.
6. Utekelezaji wa miradi mbalimbali kama ujenzi wa nyumba, ukarabati wa nyumba, njia mashamba n.k

Kutokana na sababu hizo wanaokwenda ni watu wote wa dini zote

Ukienda tofauti na kipindi hiki huwezi kukuta watu wengi sana. Kipindi hiki hakuna kaya utakayokuta haina furaha.

CHANGAMOTO
Kama umeenda na huna chochote kitu,utakumbana na ubaguzi na manyanyaso makubwa sana labda usiwe mzawa wa hapo.
Vijana wenzako wanawajengea wazazi wao nyumba ww huna kitu,wameenda na magari ww huna kitu. Umeshindwa hata kujenga choo hapo nyumbani?

Maswali fikirishi
Utaulizwa mjini ulifata nini? Bora ungelima hata huku shambani tu tujue kabisa kweli huna kazi?

Kama ni Dar, utaulizwa kwani Daslama unayokaa wewe ni hiyo hiyo anakaa mtoto wa Massawe?😂😂 Utajibu nini hapo?

Kipindi hicho wenye vitu,mali pesa ndio wenye akili na maamuzi. Una vyeti vyako,una elimu kubwa lakini kama hujafanya chochote au hauko vizuri na wazazi wewe ni takataka tu.

Kwa sababu tajwa hapo juu kumbuka sio wote wanakwenda kwa sababu zote bali lazma sababu mojawapo ihusike.
Ni kipindi chenye shangwe na furaha sana.

Karibuni watu wa maeneo mengine mtupe sababu za kwenda na changamoto zake. Ruksa kujazia pia hapo.
Wachagga kwa kupenda dini na ushirikina kumbe hawajambo?
 
Mashamba yamepotea sana muwahi mlime kidogo na kuweka mbolea, kwenye migomba mashina ya kahawa yapigwe bei elekezfi mche mmoja wa kahawa ni mia3 hakuna kuibiwa lengo la mwaka huu ni hilo vibarua ni elfu 5000 kwa cku na kila kibarua ni miche 20 shimo mbolea na kupanda ukiwapa mbege cyo Maya, kuni za kahawa mzigo 3000.ukifanikiwa kufanya haya mchaga utarudi mjini na heshima. Kirikuu cha mbolea ni elfu 25. Migomba tafuta kwa majirani haiuzwi masale ya mpakani ni bure [masale wandu nnda wandu mlaurhe] baa ni jioni unaruhusiwa kunywea mbege shambani .mwaka ujao ndizi ni marufuku kudai nauli . asanteni ukitekeleza haya we we utarudi mjini ukiwa na cha kuuliza kwenye cm mfano zile ndizi na migomba inaedeleaje. Jibu ziko vizuri kesho tunatuma ikungu miwili kwenye tilisho sio raha na kupunguza garama huko
 
Ni wale wachaga waliolowea mjini wakaa miaka mingi bila kurudi kwao hawana kitu wanaogopa kurudi makwao watachekwa na wazazi ndo nasikia kwao wamepewa jina kyasaka[emoji2][emoji2][emoji2]
Wazazi wachaga asalalee[emoji1751]

Hata angekuwa mimi nisingerudi
 
Back
Top Bottom