Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Namba 7, ni kinara wa rushwa.Zifuatazo ni sifa za wagombea ndani ya TFF.
1. Awe raia wa Tanzania.
2. Awe na kiwango cha elimu kisichopungua kidato cha nne (Cheti cha Elimu ya Sekondari).
3. Awe na uzoefu wa uendeshaji Mpira wa Miguu uliothibitishwa wa angalau miaka mitano.
4. Asiwe na hatia yoyote ya kosa la jinai na asiwe amewahi kuhukumiwa kifungo kisicho na mbadala wa faini.
5. Awe na umri angalau miaka 25.
6. Awe amewahi kuwa ama Mchezaji Mpira wa Miguu, Kocha, Mwamuzi. Au kushiriki katika uendeshaji wa Mpira wa Miguu angalau katika ngazi ya Mkoa au ngazi ya daraja la kwanza.
7. Awe muadilifu na muaminifu mwenye uwezo wa utendaji katika utekelezaji na utimizaji wa majukumu na malengo ya TFF.
8. anayegombea nafasi ya Rais au makamu wa Rais awe na kiwango cha elimu kisichopungua shahada moja, mwenye utu na uwezo wa kuiwakilisha TFF ndani na nje ya nchi.
KWA HISANI YA MICHUZI BLOG!
Sidhani kama kuna mwanakitengo wa hivi.Karia mzee wa system
Mwanakitengo
Kitengo huyo niamini mimiSidhani kama kuna mwanakitengo wa hivi.
Labda anabebwa na kitengo lakini sidhani kama yeye mwenyewe ni mtu wa kitengo.Kitengo huyo niamini mimi
Huyo karia ametoka kuwa ded uko mvomero mpaka kuwa rais wa tff unadhani hilo limetokea bahati mbaya, amekosa sifa namba 3, na 6 na bado ghafla tu amefika hapo ulitakiwa ujiulize hiyo nguvu ameipata wapi?.Labda anabebwa na kitengo lakini sidhani kama yeye mwenyewe ni mtu wa kitengo.
Nakumbuka jinsi kitengo walivyopambana kumtoa Muhidin Ndolanga.
Aisee!Huyo karia ametoka kuwa ded uko mvomero mpaka kuwa rais wa tff unadhani hilo limetokea bahati mbaya, amekosa sifa namba 3, na 6 na bado ghafla tu amefika hapo ulitakiwa ujiulize hiyo nguvu ameipata wapi?.