Hizi ndizo silaha/sumu 10 za kikemikali hatari zaidi duniani

Hizi ndizo silaha/sumu 10 za kikemikali hatari zaidi duniani

Zote hizo zimegundulika ili kumua binadamu. Mungu tusaidie
 
MMMMH KIVIPI
Mkuu hiki kitu ni hatar mnoo katika familia ya botox zipo type a mpaka H, hapa naizungumzia type H ambayo ndio hatari zaidi, unaambiwa an injection of only 2-billionths of a gram (2 ng) can cause death to an adult.
Sasa hebu fikiria km mtu anakufa kwa kudungwa kijipande hicho vipi ikiwa gram 4.. Hebu tujaribu kupiga hesabu kidogo..za mlinganyo ndio. Utakapoona ubaya wa sumu hii
 
Sumu ni nyingi sana hapa ulimwenguni. zingine zinatumika kwa manufaa zaidi (mfano mahospitalini na viwandani). sumu zingine zinatumiwa kama silaha, na ndizo zinaitwa silaha za maangamizi.

Ningependa kuona hapa cynide, ambayo hutumiwa zaidi katika usafishaji wa madini. Hii ikitumiwa kama silaha ni hatari sana. tone moja tu linaweza kuua mamia ya watu.
 
Back
Top Bottom