Bei za kusaga na kuboa nazo juu,wenye visima vya maji baadhi wamepandisha kutoka sh.50 kwa ndoo hadi sh.100, bei za unga nazo zinaanza kupanda kwakuwa nao hutumia umeme ktk kukoboa na kusaga. Huu ni mwanzo tu mengi yanakuja... Mbebaji wa mizigo yote hiyo ni mwananchi wa kawaida.
Naunga mkono bei kupandishwa ili na wengjne nao wapate umeme, tulikuwa only 10% Now we need to go 30%. Sasa haiwezekani kufanya hivyo kwa ruzuku ya serikali.

Nlidhani wabunge tu,kumbe hata walamba miguu mnaafiki ndiyooooooo
Naunga mkono bei kupandishwa ili na wengjne nao wapate umeme, tulikuwa only 10% Now we need to go 30%. Sasa haiwezekani kufanya hivyo kwa ruzuku ya serikali.
Bei za kusaga na kuboa nazo juu,wenye visima vya maji baadhi wamepandisha kutoka sh.50 kwa ndoo hadi sh.100, bei za unga nazo zinaanza kupanda kwakuwa nao hutumia umeme ktk kukoboa na kusaga. Huu ni mwanzo tu mengi yanakuja... Mbebaji wa mizigo yote hiyo ni mwananchi wa kawaida.
Wa akina Zitto na Mbowe njoeni sasa mtutetee kuhusu umeme,yeyote mwananchi atakayeudhuria mikutano yao yenye ajenda zao za mipasho na wakasahau kuhusu kuzungumzia jinsi ya kuandamana kupinga ongezeko la bei ya umeme wewe mwananchi utakuwa mjinga wa kutupwa.
waite kaka zako akina nape na nchemba
Naunga mkono bei kupandishwa ili na wengjne nao wapate umeme, tulikuwa only 10% Now we need to go 30%. Sasa haiwezekani kufanya hivyo kwa ruzuku ya serikali.
Umetoa hoja nzuri sana. Lakini hiyo principle itafanya kazi pala tayari umeme, nguzo, nyaya, mita na internal wiring zimefanyika kwa waTanzania wengi, Other than that it does not apply. Nawakumbusha tu kwamba TANESCO inataka ku-kopa iendeleze generation, distribution na supply ya umeme majumbani na viwandani lakini wakopaji wanasema hawezi kopesha shirika ambalo haliwezi kujenereti its own money, linategemea hisaniBei ikishushwa wengi wataweza kununua umeme na wigo utazidi.
TANESCO watapata economies of scale.
This is counterintuitive but true.