kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Mareakani itatoa na kwa ajili ya sector development sio kwa ajili ya recurring budget
Hoja nzuri; only remember the company is running at loss as we speak!
Whether wamesamehe au wanadai ukweli ni kwamba hizo hela hawanazo
I think it is clear, gesi ya kwetu, ila hatukutafiti sisi, hatukuchimba sisi, hatusafirishi sisi, na kwa kiwango kikubwa hatu-convert gas to power sisi; So why get free? Bei iliyopo is better tatizo bado tunatumia umeme wa mafuta mazito na diseal.
Ni mtu asiyekwenda shule tu ndiye anaweza kufikiri CCM inauwezo wa kuchukua sumni ya TANESCO.... That is impossible hata kama wangetaka iwe hivyo!
Ndugu acha kutetea sana hii issue kwani uhalisia unajulika na unaposema Shirika linajiendesha Kihasara labda utupe sababu ambazo unazijua lakini kwa hali halisi kuna maeneo ambayo yanaliingizia shirika Hasara kubwa nayo ni sehemo za vyombo vya Usalama na Magereza kwani majengo yao yote ikiwemo ofisi na nyumba za makazi yameunganishiwa umeme ninauita wa BURE kwa sababu hawa watu hawalipi isipokuwa wizara ndio inalipa je tujiulize hizi fedha zinalipwa? na pia hakuna mita za LUKU maeneo haya? na hata wasipolipa TANESCO hawana uthubutu wa kuwakatia umeme, lakini cha ajabu hawa TANESCO wamefunga LUKU kwenye Hospitali za Serikali na hadi sasa matatizo kadhaa yameishatokea ya Vifo kutokana na kukatika kwa umeme ghafra na huku hiihii serikali ikiweka mlolongo mrefu wa upatikaji wa fedha za matumizi katika Halmashauri.