Hizi ndo athari za kupanda kwa bei ya umeme

Naunga mkono bei kupandishwa ili na wengjne nao wapate umeme, tulikuwa only 10% Now we need to go 30%. Sasa haiwezekani kufanya hivyo kwa ruzuku ya serikali.

Boya mkubwa wewe!!
 
Wewe mawazo yako nafikiri tulisoma shule na darasa moja maana tunaongea rugha moja lakini nashangaa mengine kwanini hayaelewi au ndio vibaraka wanaandika vitu hata haviingii akilini. ni kwamba pesa hizo si kwaajili ya kusaidia umeme vijijini embu nambie kwahiyo umeme ukishakwenda vijijini ndo gharama itapungua? na je kama haitapungua hao uliowaunganisha vijijini nao si watapaswa kulipa bei hizo mpya? sasa piga picha maisha ya kijijini then angalia kama inawezekana kwao kufanya hivyo. si bora wabaki hawana umeme, na kwa taarifa yako hata kama bei wangeongeza mara kumi bado isingewatosha kutokana na ufisadi ulokithiri na kumbuka kuna deni tanesco wanalilipa kwa moja ya makampuni yenu yaleeeeee. KWELI ALIYESHIBA HAMJUI MWENYE NJAA YAANI KWASABABU WEWE MAMBO SAFI BASI UNASHADADIA TU KUWA IPANDE KWA SABABU WALIZOKUDANGANYA KUWA NDIZO AMKA WEWE.
 
Huu ni wizi wa hali ya juu, watu wanaficha mikataba ili watuibie halafu viongozi wa cvm wanakuja humu ndani wanajifanya wanakuja humu wanajifanya cdm haiewezi kuongoza. Hatutaki siasa tunataka maelezo ya kina kuhusu umeme kwanini ipande wakati pato letu watz liko palepale.
 
Nondo, cement navyo bei juu anayeumia mwananchi wa kawaida, jamani watanzania wenzangu kwa nini tusiwaadhibu hawa viongozi 2015?

fimbo ya kuwachapia 2015 wameshaiiba. Mm ndo wamemtumia kuiiba
 

Mareakani itatoa na kwa ajili ya sector development sio kwa ajili ya recurring budget

2. Tunaponunua umeme kuna 3% REA ambayo tunaambiwa ni kwa ajili ya kusaidia kupeleka umeme Vijijini, Kato hili maana yake nini?
Hoja nzuri; only remember the company is running at loss as we speak!

3. Nakumbuka Zanzibar walikuwa wanadaiwa na TANNESCO 50,000,000,000/= lakini cha kushangaza deni hili lilisamehewa na TANNESCO na mzigo huu ndio unatuangukia sisi kufidia.
Whether wamesamehe au wanadai ukweli ni kwamba hizo hela hawanazo

I think it is clear, gesi ya kwetu, ila hatukutafiti sisi, hatukuchimba sisi, hatusafirishi sisi, na kwa kiwango kikubwa hatu-convert gas to power sisi; So why get free? Bei iliyopo is better tatizo bado tunatumia umeme wa mafuta mazito na diseal.

Ni mtu asiyekwenda shule tu ndiye anaweza kufikiri CCM inauwezo wa kuchukua sumni ya TANESCO.... That is impossible hata kama wangetaka iwe hivyo!
 
wanakusanya pesa ya uchaguzi 2015
Taifa haliwezi endelea na mindset za kipuuzi kama hivi! Hela ya Kampuni la Umma haitoki kihuni huni tu ndugu, Ndio maana CCM wanakimbizana kufufua miradi yao b'se other than ruzuku ya vyama no any cent from
government viongozi wa CCM, CHADEMA, CUF etc wanajua hili!
 

nafikiri utakuwa mmoja wa beneficiaries wa tanesco. naona kale kakampuni kako ka kifisadi kataanza kuchota nyingi. mwe,hu mkubwa wewe.
 
nafikiri utakuwa mmoja wa beneficiaries wa tanesco. naona kale kakampuni kako ka kifisadi kataanza kuchota nyingi. mwe,hu mkubwa wewe.

Mimi sitegemei favour yoyote kwenye maisha yangu, nina viungo vyote namshukuru Mungu kwa hilo na biashara yangu ya uvuvi inalipa!!! Sitegemei maisha yangu nisaidiwe na vyama vya siasa au serikali,
 

Goso la Sumbawanga limekulevya, unashindwa kuwashutumu CCm waliopandisha bei ya umeme olive wapate pesa za kuwahonga wavutaji kama wewe, una anza kuwa2kana makamanda. Haya being imepanda-wewe umechukua ha2a gani?
 
Mimi sitegemei favour yoyote kwenye maisha yangu, nina viungo vyote namshukuru Mungu kwa hilo na biashara yangu ya uvuvi inalipa!!! Sitegemei maisha yangu nisaidiwe na vyama vya siasa au serikali,
Bwana Kasheshe unaonekana unatokea huko serekalini unaonanaje ukatusaidia sisi eatanzania tukajua mikataba ya umeme inasemaje? Kwani nasikia hamtaki hata kuipeleka bungeni iwekwe wazi. Unadhani mnsogopa nn watz wasijue maana hapo ndio siri ya kupandisha hivi ilipo
 

Hoja kwamba TANESCO haiwezi kujiendesha yenyewe na inategemea hisani ya serikali inabidi ichunguzwe zaidi.

Deni ambalo TANESCO inaidai serikali limefika kiasi gani? Deni la Zanzibar limelipwa? madeni ya Wizara n taasisi zingine nyeti za serikali yamelipwa?

Kama hayajalipwa yamefikia kiasi gani?

Maana tusije kusema serikali inaifanyia hisani TANESCO wakati ukweli unaweza kuwa serikali inalipa deni lake polepole.

Hili ni swali tu, sina maana kusema deni ambalo TANESCO linaidai serikali ni kubwa kuliko "ruzuku" ya serikali kwa TANESCO.

Hilo moja, la pili, dunia nzima, wanaobeba mzigo wa kulipia gharama za uendeshaji wa wafua na wasambazaji umeme ni wafanyabiashara wakubwa na viwanda vyao. Wananchi wa kawaida wanaotumia taa, friji, TV na pasi hawana matumizi makubwa ya umeme. Serikali iangalie hali ya maisha ili umeme usije kuwa kitu cha anasa kwa mtu wa kawaida. Hili litatugharimu sana, kwani hata watoto wanaotaka kusoma itabidi watumie taa kwa kuangalia LUKU, au waende kutumia taa ya barabarani, kama ipo.

Kwa nini Tanzania bei ya umeme iko juu hivi? Who is responsible for this?
 
Naunga mkono bei kupandishwa ili na wengjne nao wapate umeme, tulikuwa only 10% Now we need to go 30%. Sasa haiwezekani kufanya hivyo kwa ruzuku ya serikali.

mkuu unaweza kuniambia kodi wanazokusanya wanapeleka wapi na katika bajeti hii pesa za maendeleo zilikuwa ngapi na za matumizi ngapi ikiwemo safari lukuki za rais?
muache kutukamua tumechoka!!!!
na gas mmpandisha ili iweje?
 

Mkuu kila kitu kimepanda kwa asilimia kubwa si ugali si wali.
 
Naunga mkono bei kupandishwa ili na wengjne nao wapate umeme, tulikuwa only 10% Now we need to go 30%. Sasa haiwezekani kufanya hivyo kwa ruzuku ya serikali.

empty headed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…