Mareakani itatoa na kwa ajili ya sector development sio kwa ajili ya recurring budget
Hoja nzuri; only remember the company is running at loss as we speak!
Whether wamesamehe au wanadai ukweli ni kwamba hizo hela hawanazo
I think it is clear, gesi ya kwetu, ila hatukutafiti sisi, hatukuchimba sisi, hatusafirishi sisi, na kwa kiwango kikubwa hatu-convert gas to power sisi; So why get free? Bei iliyopo is better tatizo bado tunatumia umeme wa mafuta mazito na diseal.
Ni mtu asiyekwenda shule tu ndiye anaweza kufikiri CCM inauwezo wa kuchukua sumni ya TANESCO.... That is impossible hata kama wangetaka iwe hivyo!
Umetoa hoja nzuri sana. Lakini hiyo principle itafanya kazi pala tayari umeme, nguzo, nyaya, mita na internal wiring zimefanyika kwa waTanzania wengi, Other than that it does not apply. Nawakumbusha tu kwamba TANESCO inataka ku-kopa iendeleze generation, distribution na supply ya umeme majumbani na viwandani lakini wakopaji wanasema hawezi kopesha shirika ambalo haliwezi kujenereti its own money, linategemea hisani
ya waziri wa fedha. Hivyo kupanda huku kwa tarifu kutalitoa kampuni kwenye matatizo,
Nondo, cement navyo bei juu anayeumia mwananchi wa kawaida, jamani watanzania wenzangu kwa nini tusiwaadhibu hawa viongozi 2015?
waite kaka zako akina nape na nchemba
Kwa maelezo yako mazuri still umejustify kwamba reality today hesabu za shirika linafanya hasara kwa kuwa pia kwa shinikizo la serikali pia linapeleka umeme sehemu zisizolipa i mean ambazo hazitoi faida au kurudisha investment; this applies to Uganda, Kenya etc. Kwa sasa hesabu za shirika lina hasara... sasa mjadala uanze kutoka hapo... but that is the fact!Ndugu acha kutetea sana hii issue kwani uhalisia unajulika na unaposema Shirika linajiendesha Kihasara labda utupe sababu ambazo unazijua lakini kwa hali halisi kuna maeneo ambayo yanaliingizia shirika Hasara kubwa nayo ni sehemo za vyombo vya Usalama na Magereza kwani majengo yao yote ikiwemo ofisi na nyumba za makazi yameunganishiwa umeme ninauita wa BURE kwa sababu hawa watu hawalipi isipokuwa wizara ndio inalipa je tujiulize hizi fedha zinalipwa? na pia hakuna mita za LUKU maeneo haya? na hata wasipolipa TANESCO hawana uthubutu wa kuwakatia umeme, lakini cha ajabu hawa TANESCO wamefunga LUKU kwenye Hospitali za Serikali na hadi sasa matatizo kadhaa yameishatokea ya Vifo kutokana na kukatika kwa umeme ghafra na huku hiihii serikali ikiweka mlolongo mrefu wa upatikaji wa fedha za matumizi katika Halmashauri.
Naunga mkono bei kupandishwa ili na wengjne nao wapate umeme, tulikuwa only 10% Now we need to go 30%. Sasa haiwezekani kufanya hivyo kwa ruzuku ya serikali.
Umetoa hoja nzuri sana. Lakini hiyo principle itafanya kazi pala tayari umeme, nguzo, nyaya, mita na internal wiring zimefanyika kwa waTanzania wengi, Other than that it does not apply. Nawakumbusha tu kwamba TANESCO inataka ku-kopa iendeleze generation, distribution na supply ya umeme majumbani na viwandani lakini wakopaji wanasema hawezi kopesha shirika ambalo haliwezi kujenereti its own money, linategemea hisani
ya waziri wa fedha. Hivyo kupanda huku kwa tarifu kutalitoa kampuni kwenye matatizo,
Wewe mawazo yako nafikiri tulisoma shule na darasa moja maana tunaongea rugha moja lakini nashangaa mengine kwanini hayaelewi au ndio vibaraka wanaandika vitu hata haviingii akilini. ni kwamba pesa hizo si kwaajili ya kusaidia umeme vijijini embu nambie kwahiyo umeme ukishakwenda vijijini ndo gharama itapungua? na je kama haitapungua hao uliowaunganisha vijijini nao si watapaswa kulipa bei hizo mpya? sasa piga picha maisha ya kijijini then angalia kama inawezekana kwao kufanya hivyo. si bora wabaki hawana umeme, na kwa taarifa yako hata kama bei wangeongeza mara kumi bado isingewatosha kutokana na ufisadi ulokithiri na kumbuka kuna deni tanesco wanalilipa kwa moja ya makampuni yenu yaleeeeee. KWELI ALIYESHIBA HAMJUI MWENYE NJAA YAANI KWASABABU WEWE MAMBO SAFI BASI UNASHADADIA TU KUWA IPANDE KWA SABABU WALIZOKUDANGANYA KUWA NDIZO AMKA WEWE.
Kwani ile ya Jairo ilitoka wapi?Taifa haliwezi endelea na mindset za kipuuzi kama hivi! Hela ya Kampuni la Umma haitoki kihuni huni tu ndugu, Ndio maana CCM wanakimbizana kufufua miradi yao b'se other than ruzuku ya vyama no any cent from
government viongozi wa CCM, CHADEMA, CUF etc wanajua hili!