Hizi ndo collabo nzuri zingependeza kufanyika

mludego

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,597
Reaction score
3,565
1. Alikiba na Diamond
2. Joh makini na fid q
3. Nikki wa II na nikki mbishi
4. Harmonize na harmorapa
5. Godzilla na billnass
6. Q chilla na diamond
7. Mr blue na diamond
8. Izzo buzness na rayvanny
9. Giggy money na amber lulu
10.
11.
12....
 
Mr blue walishakutanishwa na Diamond kwenye wimbo wa Ngwair sijui unaitwaje ule
Blue na diamond washaimba nyimbo km 3 hv pamoja, watoto was juzi wengi hawazjui,moja wapo ni kiss for the lady
 
Blue na diamond washaimba nyimbo km 3 hv pamoja, watoto was juzi wengi hawazjui,moja wapo ni kiss for the lady
Duh watoto wa juzi wa mwaka gani mkuu ikiwa hao wasanii tajwa ni miongoni mwa watoto wa juzi
 
Duh watoto wa juzi wa mwaka gani mkuu ikiwa hao wasanii tajwa ni miongoni mwa watoto wa juzi
Kizazi cha kna blue ni madingi now,kna gene km 2 apo kati za vijana ndo nlmaanisha hawazjui.. Ila nao ni madgo pia kwa kakazao tho'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…