Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaaa Mpoto na kibaMrisho Mpoto.na Ali Kiba
Man fongo na Diamond platnumz
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haaahaaa Mpoto na kiba
tafuta ngoma inaitw kiss to the lady diamond platnumz ft Mr bruMr blue walishakutanishwa na Diamond kwenye wimbo wa Ngwair sijui unaitwaje ule
Ya lini hiyo?tafuta ngoma inaitw kiss to the lady diamond platnumz ft Mr bru
io alfanyaga bobjunior ilvuja ipo ila Kali knomaYa lini hiyo?
Mr blue walishakutanishwa na Diamond kwenye wimbo wa Ngwair sijui unaitwaje ule
Nitaitafutaio alfanyaga bobjunior ilvuja ipo ila Kali knoma
Blue na diamond washaimba nyimbo km 3 hv pamoja, watoto was juzi wengi hawazjui,moja wapo ni kiss for the ladyMr blue walishakutanishwa na Diamond kwenye wimbo wa Ngwair sijui unaitwaje ule
Kizazi cha kna blue ni madingi now,kna gene km 2 apo kati za vijana ndo nlmaanisha hawazjui.. Ila nao ni madgo pia kwa kakazao tho'Duh watoto wa juzi wa mwaka gani mkuu ikiwa hao wasanii tajwa ni miongoni mwa watoto wa juzi