James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Inaonekana muziki huujui ama ni mtoto wa y2k diamond na Blue collabo ipo kwenye album ya kamubie izo na raymond sikiliza pochi nene remix1.Alikiba na Diamond
2.Joh makini na fid q
3.nikki wa II na nikki mbishi
4.harmonize na harmorapa
5.Godzilla na billnass
6.q chilla na diamond
7.mr blue na diamond
8.izzo buzness na rayvanny
9.Giggy money na amber lulu
10.
11.
12....
Unapopewa madini usiwe mbishi...Ni kweli?
"Jisachi"Mr blue walishakutanishwa na Diamond kwenye wimbo wa Ngwair sijui unaitwaje ule
BBMMr blue walishakutanishwa na Diamond kwenye wimbo wa Ngwair sijui unaitwaje ule
Unaitwa Black Beautiful Model BBMMr blue walishakutanishwa na Diamond kwenye wimbo wa Ngwair sijui unaitwaje ule