Hizi ndo collabo nzuri zingependeza kufanyika

Hizi ndo collabo nzuri zingependeza kufanyika

Lady jaydee na yeyote.
In short sijaona nyimbo yyte ya JD na msanii wa bongo fleva ikawa mbaya
 
Wema sepetu na zari hiyo kolabo itapendeza sana.
 
Sholo mwamba ft Rick Ross



Messen ft Jason derulo
 
1.Alikiba na Diamond
2.Joh makini na fid q
3.nikki wa II na nikki mbishi
4.harmonize na harmorapa
5.Godzilla na billnass
6.q chilla na diamond
7.mr blue na diamond
8.izzo buzness na rayvanny
9.Giggy money na amber lulu
10.
11.
12....
Inaonekana muziki huujui ama ni mtoto wa y2k diamond na Blue collabo ipo kwenye album ya kamubie izo na raymond sikiliza pochi nene remix
 
Inaonekana muziki huujui ama ni mtoto wa y2k diamond na alikiba collabo ipo kwenye album ya kamubie izo na raymond sikiliza pochi nene remix
Ni kweli?
 
Back
Top Bottom