njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nilijua tu mwisho wa yote watajinasibu kwamba wao ndiyo wamefanikisha sasa ikitokea Mo kapiga naye huyo kijana wao niseme boss wao anayewapa hela yaani Mohamed Hussein Zimbwe Junior captain msaidizi aliyeamua yeye na wapambe wake kutumia vurugu na lugha za maudhi ili kuongezewa mkataba.
Please boss Mo mojawapo ya madai yao ilikuwa ni wewe kutokumuita ofisini kwako kunywa naye chai na kupiga naye picha, USIFANYE HIVYO UKIFANYA TU UTAONA TENA CAPTIONS KAMA HIZI.
Cha kushangaza john boko kaongezewa mkataba bila makelele wala vurugu na meneja wa John Boko ndiye anayemsimamia manula, Kapombe na Gadiel Michael yaani anasimamia wachezaji wa 4 wa muhimu bila mavurugu waala matusi kwa klabu ila zimbwe kaamua kuamrisha ATTACKING DOGS wake kumtukana CEO na team yetu.
ANGALIA HUYU MENEJA WA CHAMA HATA KWENYE PAGE YAKE ULINGANISHE NA MA MENEJA KAMA HERRY MZOZO? LORD HAVE MERCY halafu mtu anashangaa hasikii vurugu za mikataba ya chama na simba kumbe wasimamizi ni watu wenye akili timamu siyo masela mavi wa manzese