Hizi ndo perfume original ukiachana na zile za Kariakoo

Hizi ndo perfume original ukiachana na zile za Kariakoo

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Nilishangaa sana baada ya kukutana na hizi bei tena wanakuwekea na taster hizo nilizozishika ruksa kujipulizia zina harufu poa sana

Dah wenye pesa wanafaidi vilivyo vizuri
PXL_20240529_091514098.MV.jpg
IMG_20240529_091429.jpg
 
Maisha bora kwa kila Mtanzania hukohuko k/koo na tunanukia vizuri.

Perfume ni taste yako tu, japo ni kweli original ni bora zaidi.
Hakika ila hizi bidhaa zimelenga high class maana bei ni yamoto mno hapo kkoo unarud na mabox ya perfume
 
Back
Top Bottom