monotheist JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 830 Reaction score 1,449 May 29, 2024 #1 Nilishangaa sana baada ya kukutana na hizi bei tena wanakuwekea na taster hizo nilizozishika ruksa kujipulizia zina harufu poa sana Dah wenye pesa wanafaidi vilivyo vizuri
Nilishangaa sana baada ya kukutana na hizi bei tena wanakuwekea na taster hizo nilizozishika ruksa kujipulizia zina harufu poa sana Dah wenye pesa wanafaidi vilivyo vizuri
HDMI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 672 Reaction score 1,332 May 29, 2024 #2 Na bado kuna feki unapigwa kwa bei ya original. 🤣🤣
monotheist JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 830 Reaction score 1,449 May 29, 2024 Thread starter #3 HDMI said: Na bado kuna feki unapigwa kwa bei ya original. 🤣🤣 Click to expand... Weeeh kweli?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 May 29, 2024 #4 Maisha bora kwa kila Mtanzania hukohuko k/koo na tunanukia vizuri. Perfume ni taste yako tu, japo ni kweli original ni bora zaidi.
Maisha bora kwa kila Mtanzania hukohuko k/koo na tunanukia vizuri. Perfume ni taste yako tu, japo ni kweli original ni bora zaidi.
monotheist JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 830 Reaction score 1,449 May 29, 2024 Thread starter #5 Nifah said: Maisha bora kwa kila Mtanzania hukohuko k/koo na tunanukia vizuri. Perfume ni taste yako tu, japo ni kweli original ni bora zaidi. Click to expand... Hakika ila hizi bidhaa zimelenga high class maana bei ni yamoto mno hapo kkoo unarud na mabox ya perfume
Nifah said: Maisha bora kwa kila Mtanzania hukohuko k/koo na tunanukia vizuri. Perfume ni taste yako tu, japo ni kweli original ni bora zaidi. Click to expand... Hakika ila hizi bidhaa zimelenga high class maana bei ni yamoto mno hapo kkoo unarud na mabox ya perfume