Hizi ndo sababu kwanini naenda Veta kujifunza kupika

Hizi ndo sababu kwanini naenda Veta kujifunza kupika

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
1. Asilimia kubwa ya wa Tanzania ( wa Bantu) Hawajui kupika. The only thing that they can cook better is hot water. Watanzania wanao we za kupika vizuri ni wasomali. Ndo maana kila siku huwa natoka Kinondoni naenda kula kariakoo pale Al-Uruba Hotel kwa wasomali.

Watanzania wachache sana ( wa Bantu) wanao we za kupika chakula vizuri ndio maana wengi hawana akili vizuri( You are what you eat/ Your future lies in what you eat everyday kama una kula vyakula vya hovyo hovyo lazima vilemaze akili yako Uwe mjinga mjinga)

Vyakula vina uhai ndani yake. Huo uhai wa chakula ndio unao vipa vyakula umuhimu kwenye mwili wako.

Kama unakula vyakula vya hovyo hovyo bila mpangilio maalumu lazima vikuathiri hadi kwenye akili na ufahamu wako.

Unakutana na m Tanzania ana miaka 45 but he look so defeated in life.

Kazeeka kama ana miaka 65 vile na mawazo yake ya kijinga jinga anajiona amesha zeeka. Hata nguo anazo vaa zimechoka. Ukicheki nguo anazo vaa zipo out dated utafikiri zile alizo kuwa anazitumia Mr. Nuhu wakati yupo ndani ya Safina.

Hebu anza kula uyoga uliopikwa vizuri. Fanya hivyo kwa muda wa mwezi mmoja uone kama uhai haujarudi kwenye akili yako.

Utaanza kuwaza tena kama kijana. Utaacha kumshangaa Bwana Likud (ambae Insha'Allah anatimiza miaka 40 mwezi wa tano) pale anaposema ana miliki girlfriends wanne wa miaka 19-22.

Wewe unaona ajabu kwa sababu akili yako imezeeshwa na aina ya vyakula unavyo kula. Unakula vyakula vilivyo kufa. Mimi mwenzako ninakula vyenye uhai ndio maana hata ndoto zangu ni kubwa kubwa.

I am almost 40 but my body thinks am 24. I look 20 years younger than my age. Damu yangu bado inachemka. All ni kwa sababu ya aina ya vyakula ni navyo kula.


MAMA NTILIE WA USWAZI? Nao siku hizi hakuna kitu. Wanapika sumu. Vyakula vimejaa chumvi na mafuta.
Wanapika kwenye mazingira machafu pia. Na wana andaa vyakula kwenye mazingira machafu sana.

In addition to that wengi wao ni washirikina pia. Mnapikiwa wali kwa kutumia maji ya maiti.

So naenda kusomea mapishi ili niwe napika vyakula vizuri kwa ajili ya afya yangu mwenyewe.


2. Kula ni starehe pia as long as unapika vyakula vizuri...

Wanaume tujifunze kupika vyakula vizuri kitaalamu ili tuwe na afya njema.

Wanaume wengi wana angamia kwa sababu ya kutojua kupika vyakula vizuri.
 
Unakuta mwanaume ana makalio makubwa utadhani ni mushangazi ambao ni single mother. Wowo inatikisika. Haaa unakuta pia ni shabiki wa timu ya mpira inaitwa Nyuma mwiko.
 
Back
Top Bottom