Hizi ndo Sababu za kiroho kwanini Beatrice Mwaipaja hatofanikiwa na ataendelea kuwa chini zaidi

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Habari wakuu .

Kwanza pole Sana Beatrice Mwaipaja na pole Sana Martha Mwaipaja .

Naanza hivi

Martha Mwaipaja , she was no body hakuwa chochote na ameishi maisha ya kawaida Sana muda mrefu .

Ila ameanza kufanikiwa baada ya yeye kuanza kupenda mafanikio ya wenzake Kama Diamond n.k

Na kuujua ukweli kuwa devil never exist , baada ya yeye kuwa enlightenment na kujua hakuna shetani bali kinachoendesha maisha ni nishati au energy either negative or positive.

Hivyo yeye kaamua kuelewa kanuni ile ya ulimwengu ya kujipatia kibali kirahisi , unapomsaidia MTU amabaye hauna uhusiano nae wowote kuna uwezekano mkubwa huyo MTU akakiinua kivuli chako.

Hivyo Martha Mwaipaja alipokutana na huyo mtoto wa ukubwani na kumfanya mwanae na kumpa kila kitu cha muhimu , Martha amekua sana kiuchumi ikiwemo kuanza kutembelea latest car ,Biashara kukua na kumiliki Mjengo wa maana.

Hivyo Martha alichoamua kufanya ni kutumia nguvu chanya kujinyanyua kiuchumi .

Kipi kifanyike Kwa waimbaji wengine ? Kama Beatrice Mwaipaja

Kwanza aache kuchukia mafanikio ya Dada yake na asiumie kuona anawasaidia watu ambao hana undugu nae , hii ni kanuni ya kufanikiwa kimaisha (Kiroho)

Hivyo Beatrice Mwaipaja asipobadilika ataendelea kuwa bonge la masikini maisha yake yote maana anavunja kanuni za kiroho unayosema "you can't attract what you hate "

Jinsi unavyoumia kuhusu mafanikio ya watu wengine ndo jinsi unaendelea kuyakosa hayo mafanikio and you will end up being broke forever .

Mimi nilipokuwa masikini Kama Beatrice nilikuwa nachukia kuona mafanikio ya watu na kuumia aisee niliendelea Kuwaasikini daima hadi nilipoamua kuanza kusaidia watu nisiowajua na hapo kila kitu kilibadilika na nikakutana na destiny helper in my life.

So Beatrice don't invest your time in negativity hautafanikiwa Kwa lolote.
 
Sikujua kuna ushirikina wa aina hii. Kwamba hakuna shetani ila nishati. Na hiyo nishati inakutaka usisaidie ndugu/Mama ili ufanikiwe halafu unatetea hakuna Shetani. Kama shetani hayupo,, mbona naona kuna masharti kama ya mganga wa kienyeji. Ana billions of money wkt Mama analala kibandani, na akili zimeharibiwa ati Binti yake anatafuta mali ya kazi gani na kwa raha ipi ??
 
We muda wote uko na watu kila changamoto kwao ni pepo, mapepo mara majini, wachawi!!!!!
Maendeleo utayapata saa ngapi?
 
Back
Top Bottom