Hizi ndo suluhisho kwa wanandoa

P h a r a o h

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
785
Reaction score
1,413






hizi zinaitwa chastity belts

ni za medivial period (zama za Kati)
zilikua zinatumika kama njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake ili wasichepuke

lakini pia, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa madhumuni yake makuu yalikuwa kuwakinga wanawake dhidi ya ubakaji wakati wa vita na safari hatarishi.
Mikanda hii, iliyotengenezwa kwa chuma na ngozi, ilikuwa na mfumo mgumu wa kufunga.

Ingawa uhalisia na uenezaji wake katika zama hizo bado unajadiliwa, inajulikana kuwa kipindi cha karne ya 19, vifaa kama hivyo vilitumiwa barani Ulaya kuzuia kujichua, jambo ambalo wakati huo lilidhaniwa kuwa na madhara kiafya.
 
Lakini Bado Ikashandikana Ndio Kwanza Mambo Ndio Yanazidi Kuwa Bum bum...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…