Hizi ndo timu 16 zilizotinga makundi, Simba hana safari hapa

... hizi klabu kwa uwezo wao uwanjani sioni kama Simba kuna kutoboa hapo
Hizi lugha zilianza raundi ya awali, Simba akatoboa, zikafuata raundi ya kwanza, Simba ametoboa, na zimekimbila mapema kwenye makundi. Endelea na hizo lugha, kumbuka Simba alishika namba mbili kwenye kundi, AS Vita akashika mkia, ni mwaka juzi tu.
 
Aisee...ongeleeni Mapinduzi cup cnc hiyo ndo level yenu...achaneni na CAF that's Simba's level.
 
Shobo za kike acha ndugu.
Hizi sio level zenu
 
Your browser is not able to display this video.
Mkuu wewe ndio huyu nini? Aibu haina kabila wala mji..
 
Sasa hivi mpira unachezwa tu,kuogopa majina ilikuwa zamani...
 
Mmekuja kivingne ile kauli mbiu ya underdog saizi aipo ila utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…