Hizi ndo timu 16 zilizotinga makundi, Simba hana safari hapa

Hizi ndo timu 16 zilizotinga makundi, Simba hana safari hapa

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Hizi ndo timu zilizofuzu hatua ya makundi kiukweli kabisa navozijua hizi klabu kwa uwezo wao uwanjani sioni kama Simba kuna kutoboa hapo. Anayeonekana underdog ni Simba tu.

IMG_20210106_223929.jpg
 
... hizi klabu kwa uwezo wao uwanjani sioni kama Simba kuna kutoboa hapo
Hizi lugha zilianza raundi ya awali, Simba akatoboa, zikafuata raundi ya kwanza, Simba ametoboa, na zimekimbila mapema kwenye makundi. Endelea na hizo lugha, kumbuka Simba alishika namba mbili kwenye kundi, AS Vita akashika mkia, ni mwaka juzi tu.
 
Aisee...ongeleeni Mapinduzi cup cnc hiyo ndo level yenu...achaneni na CAF that's Simba's level.
 
Shobo za kike acha ndugu.
Hizi sio level zenu
 
Mkuu wewe ndio huyu nini? Aibu haina kabila wala mji..
 
Mmekuja kivingne ile kauli mbiu ya underdog saizi aipo ila utopolo
 
Back
Top Bottom