Hizi ni aibu 6 bora, ongeza za kwako

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
1. Mgeni kufumwa akionja mboga kwenye hotpot
2. Kufumwa ukijaribu viatu vya mgeni, au sox
3. Mgeni kukufumania ukichungulia briefcase lake, ( read handed)
4. Unajifanya unaongea na simu, kumbe unazuga mbele za watu ghafla, simu inaita ukiwa kwenye mazungumzo feki
5. Umetumia miezi 4 kumfatilia na kujisifia kitandani, Ile unaweka tu ndani ya dakika 1 bao.
6. Kuwa na vyeti fyeki Wakati ulikuwa kinara kazini wa kucheka wenzio.
 
Kupora ushindi wa maalim Seif Sharif Hamad halafu baada ya kurudiwa kwa uchaguzi bila ushiriki wa upinzani unajisifu kuwa umeshinda ushindi wa kishindo kwa zaidi ya 92%, na umeshinda madiwani na wawakilishi wote huku ukiwa macho makavu kabisa na watu wanakuangalia
 
Kuhama chama na kujiunga na chama kingine kisha ukapewa na chama ulichohamia uwe mgombea lakini ukashindwa, { refers to Ngoyayi, Lembeli } ni aibu sana bora ushindwe katika wima ulele.
 
Wanasiasa wameshaiteka thread
 
Dushe kusimama huku mkitizamana na mdogo wa kike wa mkeo mbele ya dada yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…