Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucheka peke yangu kwa sauti huku nasoma hii commentKujikwaa na kudondoka mbele ya demu unaemfatilia huku akiwa na marafiki zake
Ni aibu mbaya kuliko zooote ccm hapana kweli nikikumbuka waliofungua akaunt nyingine labda ndio zingesaidia pyuuuuuKubadilisha matumizi ya michango iliyotolewa kwa ajili ya watu wa Kagera
Unachekeshaa aiseee1. Mgeni kufumwa akionja mboga kwenye hotpot
2. Kufumwa ukijaribu viatu vya mgeni, au sox
3. Mgeni kukufumania ukichungulia briefcase lake, ( read handed)
4. Unajifanya unaongea na simu, kumbe unazuga mbele za watu ghafla, simu inaita ukiwa kwenye mazungumzo feki
5. Umetumia miezi 4 kumfatilia na kujisifia kitandani, Ile unaweka tu ndani ya dakika 1 bao.
6. Kuwa na vyeti fyeki Wakati ulikuwa kinara kazini wa kucheka wenzio.
Nimeishia kuchekaKujikwaa na kudondoka mbele ya demu unaemfatilia huku akiwa na marafiki zake
HahahahahaKucheka peke yangu kwa sauti huku nasoma hii comment
Dah...mbona hakuna aibu ya maana hapo? Zote hizo huhitaji zaidi ya sekunde 4 kupata sababu ya kijitetea na mkawa poa tu[emoji13] [emoji13]1. Mgeni kufumwa akionja mboga kwenye hotpot
2. Kufumwa ukijaribu viatu vya mgeni, au sox
3. Mgeni kukufumania ukichungulia briefcase lake, ( read handed)
4. Unajifanya unaongea na simu, kumbe unazuga mbele za watu ghafla, simu inaita ukiwa kwenye mazungumzo feki
5. Umetumia miezi 4 kumfatilia na kujisifia kitandani, Ile unaweka tu ndani ya dakika 1 bao.
6. Kuwa na vyeti fyeki Wakati ulikuwa kinara kazini wa kucheka wenzio.
Yeah. Na uhondo wote kwishnei!Wanasiasa wameshaiteka thread
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] una 7m za faini yq uchochezi?Kupora ushindi wa maalim Seif Sharif Hamad halafu baada ya kurudiwa kwa uchaguzi bila ushiriki wa upinzani unajisifu kuwa umeshinda ushindi wa kishindo kwa zaidi ya 92%, na umeshinda madiwani na wawakilishi wote huku ukiwa macho makavu kabisa na watu wanakuangalia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni pale unapong,ang,ania kwenda kwa watu halafu ukalala hukohuko usiku ukakojoa kitandani ugenini