Hizi ni aibu 6 bora, ongeza za kwako

Nilikurupuka asubuhi naumwa nikawahi hospitali mara nikaandikiwa sindano za masaa. Kisanga boxer niliyokuwa nimevaa ina kama siku mbili mwilini, jioni nikaenda nimebadili nesi akantania naona umebadilisha.
Duh hii kali
 
Kumtabilia mtu kifo na ukafa ww............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Kuwasemea polisi kwa waziri mkuu,halafu Waziri mkuu anakusema wewe.

Kimbelembele kwishaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Unapo kua peke yako geto unajamba ukijihakikishia uko peke yako mara mgeni anagonga mlango na kuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…