Hizi ni baadhi ya Mbinu za Kupiga hela na kujenga uchumi

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,713
Reaction score
6,121
Katika ulimwengu wa biashara kuna fursa nyingi ambazo mtu aweza kuzitumia ili kupiga hatua maishani.Baadhi ya mbinu hizo ni pamoja na hizi hapa chini:
  1. Kuwa reseller wa huduma au bidhaa.Katika eneo hilo unaweza kununua bidha kwa bei ya jumla na kuuza kwa bei ya rejareja kulingana na mtaji.Ila pia unaweza ukafanya kazi yakutafuta wateja na kupeleka katika ofisi au biashara ya mtu kwa makubaliano maalum.Katika eneo hili kuna aina tofauti za Reseller program kama vile:
    1. White label reseller ambapo unapewa bidhaa au huduma ambayo unaibrand mwenyewe na kuifanyia promotion.Wengi sana wanafanya njia hii hasa kwa kutumia China kama sehemu ya kuzalishia na kuzibrand bidhaa zao kisha wanapokuja ahapa wanazifanyia marketing na kuendelea
    2. Affiliate Partnership pia ni aina ya reseller ambapo wewe kazi yako inakuwa ni kuwapa wateja taarifa kuhusu bidhaa au huduma na kisha wateja wanaponunua unapewa commision fulani
Katika mifumo yote miwili unaweza kuchagua mmoja kwa kutegemea kiwango chako cha mtaji pamoja na malengo yako.Jambo la muhimu ni kuhakikisha kwamba eneo unalochagua unalimudu na unalielewa.

Ili kufanya kazi vizuri kama Muuzaji katika maeneo haya yote unahitaji kuwa na sifa zifuatazo.
  1. Hakikisha unakuwa na bei maalum kwa bidha ambazo unapenda kuziuza
  2. Tengeneza business card yenye contact details zako na taarifa za muhimu kuhusu bidhaa zako
  3. Tengeneza website ambayo utaweka taarifa zako,bidha unazouza,mawasiliano na maelezo yote yanayohusu bidhaa au huduma
  4. Hakikisha kwa kila wiki unatenga siku tatu za kutembelea wateja wako na siku mabili za kutembelea suppliers wako ili kuhakikisha kwamba unakuwa na mawasiliano ya mara kwa mara
I wapo unahitaji msaada kwa ajili ya kujitengeneza kama reseller au affiliate partner wa bidhaa zifuatazo tafadhali wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com.Tutakuongoza katika kutengeneza Affiliate business au reseller business katika maeneo yafuatayo:
  1. Biashara za kuuza huduma za teknolojia kama software,hardware,Domain names,Hosting n.k.
  2. Biashara ya kuuza bidhaa kama vile make ups,Nguo,
  3. Biashara ya kuuza Magari,
  4. Biashara ya kuuza vipuri vya mitambo ya viwandani
  5. Biashara ya utalii,hoteli na usafiri
  6. Pia tunaweza kukupa mwongoz wa jinsi ya kuandaa Affiliate Program kwa ajili ya Biashara yako.
Kwa maelezo tuwasiliane kwa email:masokotz@yahoo.com
 
andoza,
Aiseee chalii yangu third world dweller acha porojo jamvini. Tanzania is vast kuna mapori untouched yamekaa tu kibwerebwerere its upon you to go and clear those bushes and work on the land.

Hamna short cut ni kufanya kazi tu
 
Aiseee chalii yangu third world dweller acha porojo jamvini. Tanzania is vast kuna mapori untouched yamekaa tu kibwerebwerere its upon you to go and clear those bushes and work on the land.

Hamna short cut ni kufanya kazi tu
Mkuu,nimependa sana comment yako,Unafikiri mapori tunayaacha basi...tunakimbiza kotekote kuhakikisha maisha yanaenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…