- Thread starter
- #21
Ikiwa u dada yangu katika KRISTO ninayo HAKI kukuonya.Aroooo 😂😂😂mtumishi sasa unaingilia yasiyokuhusu
Maana maandiko yametuambia kuonyana katika Upendo Ili kujenga mwili wa Kristo.
Pole ikiwa nimekukwaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa u dada yangu katika KRISTO ninayo HAKI kukuonya.Aroooo 😂😂😂mtumishi sasa unaingilia yasiyokuhusu
Tuzungumzie ndoto kama mada isemavyo, mengine yaache hayakuhusuIkiwa u dada yangu katika KRISTO ninayo HAKI kukuonya.
Maana maandiko yametuambia kuonyana katika Upendo Ili kujenga mwili wa Kristo.
Pole ikiwa nimekukwaza.
Kuanza kuogopa ndoto nao ni UNDEZI TU. Hebu fanyeni ya maana kutafuta fedha. Nina miaka 60 na afya tele na ninaota ndoto kila siku. Nikiamka sizikumbuki na sijawahi kupata madhara yeyote.Ukiota ndoto na ukaamka asubuhi na huikumbuki ndoto hiyo,
Na ukihisi HOFU au shauku ya kuijua ndoto na tafsiri yake,
Kamwe usipuuzie,
Mwombe MUNGU, mwambie akurudishie ndoto na akupe tafsiri na akujulishe nini Cha kufanya, na Amini ukiombacho.
Uwe na HAKIKA, Malaika wa Mungu atakurudishia ndoto na kukupa yote uliyoyaomba.
UBARIKIWE 🙏
Hicho kinaitwa kiburi Cha Uzima.Kuanza kuogopa ndoto nao ni UNDEZI TU. Hebu fanyeni ya maana kutafuta fedha. Nina miaka 60 na afya tele na ninaota ndoto kila siku. Nikiamka sizikumbuki na sijawahi kupata madhara yeyote.
Nyinyi akina Rabbon ndiyo wapiga ramli chonganishi. Nyie ndiyo mnasababusha na vifu vya maalbino including #Asimwe
Salaam ,shalom!!
Mara nyingi umewahi kuota ndoto na unapoamka huikumbuki, na Hali hiyo inakupa huzuni na Kupata shauku ya kutaka kukumbuka usiweze.
Usilolijua, Ufalme wa Nuru na WA Giza, falme hizi zinaweza kuleta na kufuta ndoto nafsini mwako Kwa sababu mbalimbali. Na ndoto Si igizo au simulizi, ni tukio halisi NAFSI / Roho Yako inaona katika Ulimwengu wa Roho.
Hali hiyo hiyo ilimkuta mfalme mbabe Nebukadreza, ( Daniel 2:1-49). Mfalme aliota ndoto na akaisahau, kumbuka hapo alikuwa amewachukua pallace waisrael Daniel, Meshach, Abednego na Shadrack, sasa alipoisahau ndoto akatoa amri Waganga na waisrael wenye BUSARA na HEKIMA wauwawe ikiwa watashinda kumwambia aliota ni I usiku na tafsiri ya ndoto ni nini!!, hapo utajua nani alimwotesha na kufuta ndoto kichwani mwa mfalme na sababu, ni Ufalme wa Nuru au Giza.
Daniel kuona Hali hiyo ya hatari, akaomba Ruksa aende kumuuliza Mungu ambaye Hana kikao pamoja na wenye mwili( Waganga na wasoma nyota) ambaye Mungu huyo, wa Israel, wa Daniel ana uwezo kujua nini mtu aliota Jana na kusahau.
Ndoto ilikuwa hivi, Mfalme Nebukadreza aliona sanamu kubwa mno ya kutisha,
1. KICHWA Cha sanamu hiyo kilikuwa DHAHABU safi.
2. Kifua na mikono ni FEDHA.
3. Tumbo na viuno ni vya SHABA .
4. Miguu yake ni NUSU CHUMA NUSU UDONGO.
Daniel akampa Tafsiri ya sanamu hiyo kuwa Dhahabu ndiyo ufalme wa Nebukadreza, ufalme wake ukiweza kutawala Dunia nzima na yote ilimtii na kushikamana.
Mfalme baada ya Kupata tafsiri ya ndoto na kujua kuwa ufalme wake ni Dhahabu, yaani Imara, kesho yake akaagiza ichongwe sanamu ya DHAHABU tupu,na kuiweka na kuamrisha watu wote wakusanyike kuiabudu. Nadhani Hadi hapo, utakuwa umejua Nia ya ndoto Ile kufutwa, na nani Hasa aliifuta na ni Kwa sababu Gani.
Kwa ambao hawajaelewa Bado, tuendelee....
SABABU ZA KUOTA NDOTO NA KUZISAHAU.
1. KWA USALAMA NA AFYA YA AKILI YAKO
Kwa kuwa ndoto ni HALISI, vipo viumbe vya kiroho ukiviona na uvikumbuke, unaweza kufariki muda mfupi ujao Kwa HOFU na mawazo ndio sababu zinaondolewa kichwani mwako Ili uwe salama.
Ukifanikiwa kuiona siku ya kufa kwako ndotoni, au uione siku ya kuondolewa na uwapendao, kumbukumbu hizo Si njema, na kifo ni Fumbo, so ukiyaona hayo katika Ulimwengu wa Roho, Mungu huzifuta Ili uendelee kuwa na Amani na maisha yaendelee.
2. KUKUEPUSHA NA KOSA LINALOWEZA KUKULETEA ADHABU MBELE
Mfalme asingekumbuka ndoto, asingeamua kuchonga sanamu Ili aabudiwe na kumkosea Mungu. Hapo unaweza jua kwanini ndoto yake ilifutwa kichwani mwake. Likewise wewe nawe zipo ndoto Mungu au Ibilisi huzifuta kichwani mwako usizikimbuke Kwa sababu na Nia na makusudi Yao Kwa faida zao.
3. NDOTO ZINGINE HAZINA UMUHIMU WOWOTE
Ndoto ambazo hutokana na shughuli za Kila siku mchana, ambazo ni marudio ya uliyoyafanya mchana, hazina umuhimu wowote ndio maana nyingi huja na kuondoka na huzikumbuki na hazina impact yoyote.
4. KUKUWEKA HATARINI ILI USICHUKUE HATUA, UANGAMIE
Mungu akikuletea taarifa kupitia ndoto kuhusu Ajali uliyopangiwa na maadui zako ambayo ingetokea kesho baada ya usiku wa NDOTO, ufalme wa Giza wakifanikiwa kukuibia ndoto hiyo usikumbuke, Nia ni uache kuahirisha safari Ili UANGAMIE. Ambapo Mungu alipanga kukujulisha uahirishe Ili usiangamie.
JE, INAWEZEKANA KUOMBA KISHA UKARUDISHIWA NDOTO ULIZOOTA ZENYE MAANA, ZILIZOONDOLEWA NA ADUI ILI KUKUANGAMIZA?
Hilo linawezekana, na WA kukusaidia ni Mungu pekee ukimwomba, shetani hawezi kujua mtu aliota nini Jana, Mungu anaweza kukurudishia ndoto Ili ujue taarifa zilizoko ndani ya ndoto na hatua za kuchukua haraka kurekebisha situation mbaya.
Ukimwomba Mungu aweza yote.
Mungu awabariki.
Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako, fuatisha Sala hii,
EE, MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Karibuni 🙏
Ukiota ndoto na ukaamka asubuhi na huikumbuki ndoto hiyo,
Na ukihisi HOFU au shauku ya kuijua ndoto na tafsiri yake,
Kamwe usipuuzie,
Mwombe MUNGU, mwambie akurudishie ndoto na akupe tafsiri na akujulishe nini Cha kufanya, na Amini ukiombacho.
Uwe na HAKIKA, Malaika wa Mungu atakurudishia ndoto na kukupa yote uliyoyaomba.
UBARIKIWE 🙏
Ikiwa u muumini na Huwa unaabudu, unatakiwa umuombee na UMSAMEHE Ili apewe neema ya wokovu Ili arudi kuwa mtu mwema mmalize tofauti zenu.
Changamoto ya ndoto hiyo IPO hapo anapoomba msaada Kwa ndugu Yako ambaye ni marehemu amsaidie.
Ikiwa nduguyo marehemu hakuwa mtu mwema, kwamba Yuko kuzimu, yaezakuwa mtu huyo unayegombana naye ni mchawi hivyo anaomba msaada wa kukuangamiza Toka kuzimu alipo huyo ndugu Yako, na haombi msaada Kwa nduguyo direct, Bali mapepo ya huko ambayo yatacgukua taarifa zako Kutoka huyo ndugu Yako, au nduguyo aweza badilishwa kuwa Malaika wa Giza na kutumia kwako aje amsaidie huyo adui Yako mchawi kukuangamiza.
Kuona huyo nduguyo hamsaidii, na kuona unamwadhibu, ni Ishara kuwa una nguvu kubwa na ulinzi kiroho.
Ikiwa ni mwombaji, ongeza bidii kuomba na kushinda vita zako Rohoni.
Lakini mwilini, tafuta Amani nae na mwombee na mshawishi aokoke ingawa katika Roho endelea Kupambana naye Ili ushinde nguvu za Giza zinazomtuma apambane nawe!!
Ubarikiwe 🙏
Umenena vyema mtumishi.Kwa kifupi tu ni kwamba ukiota ndota na kuisahau manake ndoto hiyo haina nia njema na wewe na imetoka kwa yule mwovu. Cha kufanya; omba dhidi ya ndoto hiyo ili yote yaliyofanywa na kupandikizwa kwako kupitia ndoto hiyo au yaliyokusudiwa yasifanikiwe. Omba kwa Jina la Yesu na safisha maisha yako na mfumo wako wa ndoto na maisha yako kwa Damu ya Yesu. Pia kila siku kabla ya kulala jikabidhi katika ulinzi wa Yesu Kristo ikiwa ni pamoja na kupinga mashambulizi ya shetani kupitia ndoto.