Hizi ni baadhi ya sababu juu ya kwanini hukumbuki ndoto unazoota

Aroooo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mtumishi sasa unaingilia yasiyokuhusu
Ikiwa u dada yangu katika KRISTO ninayo HAKI kukuonya.

Maana maandiko yametuambia kuonyana katika Upendo Ili kujenga mwili wa Kristo.

Pole ikiwa nimekukwaza.
 
Ikiwa u dada yangu katika KRISTO ninayo HAKI kukuonya.

Maana maandiko yametuambia kuonyana katika Upendo Ili kujenga mwili wa Kristo.

Pole ikiwa nimekukwaza.
Tuzungumzie ndoto kama mada isemavyo, mengine yaache hayakuhusu
 
Kuanza kuogopa ndoto nao ni UNDEZI TU. Hebu fanyeni ya maana kutafuta fedha. Nina miaka 60 na afya tele na ninaota ndoto kila siku. Nikiamka sizikumbuki na sijawahi kupata madhara yeyote.

Nyinyi akina Rabbon ndiyo wapiga ramli chonganishi. Nyie ndiyo mnasababusha na vifu vya maalbino including #Asimwe
 
Hicho kinaitwa kiburi Cha Uzima.

Jiepusheni na wizi wa kura, mkatende HAKI Kwa Watanzania Ili Taifa listawi.
 
Kwa kifupi tu ni kwamba ukiota ndota na kuisahau manake ndoto hiyo haina nia njema na wewe na imetoka kwa yule mwovu. Cha kufanya; omba dhidi ya ndoto hiyo ili yote yaliyofanywa na kupandikizwa kwako kupitia ndoto hiyo au yaliyokusudiwa yasifanikiwe. Omba kwa Jina la Yesu na safisha maisha yako na mfumo wako wa ndoto na maisha yako kwa Damu ya Yesu. Pia kila siku kabla ya kulala jikabidhi katika ulinzi wa Yesu Kristo ikiwa ni pamoja na kupinga mashambulizi ya shetani kupitia ndoto.


 
Umenena vyema mtumishi.

Ingawa Si ndoto zote hutoka Kwa mwovu,

Ujue kuwa mwovu pia huweza kuiba taarifa au ndoto Toka Kwa Mungu Ili usipige hatua kiimani, kiuchumi nk nk.

Ikiwa ni mfanya biashara, umewahi mwomba Mungu akupe wazo zuri la biashara ya kufanya ikusogeze kimaisha,

Mungu akikujibu Kwa ndoto, shetani ana uwezo kuiba ndoto hiyo Ili kuzuia au kuchelewesha kusudi la Mungu.

Daniel alipoomba, Mungu anasema, alimjibu siku Ile Ile, lakini Mkuu wa Anga la uajemi katika Roho, alimzuia Malaika wa Mungu asifikishe ujumbe Kwa Daniel, ndipo akatumwa Malaika mkuu apambane na Huyo mkuu wa anga Ili kuondoa kikwazo Ili maombi na majibu yapelekwe Kwa Daniel.

Ubarikiwe ๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ